TOO MUCH OF EVERYTHING PUT TOGETHER IN ONE PLACE...,HATA KAMA THIS IS TOO MUCH JAMENI ITS A GOT DAMN EVENT SO TRY TO ADRESS THE DRESSCODE..,
I DONT EVEN KNOW WHAT TO COMMENT HERE EXCEPT WHYYYYYYYYYYYYY!!
I JUST DONT GET IT...,
KILLY AND ZEINAB NI MISHONO YA HIZI NGUO HAJIZAWACOMPLIMENT AT ALL WHEN I KNOW YOU CAN DO BETTER THAN THIS!!
HERE IS A PERFECT EXAMPLE OF AN OUTFIT GONE WRONG..,THE SUITE IS NOT FITTED,MIKONO MIREFU AND LORD HAVE MERCY THE TIE IS SO WRONG..,NIA YANGU SIO KUKOSOA WATU KWA UBAYA ILA NI USHAURI AMBAO UTAWASAIDIA AND ANOTHA THING IS THAT THIS IS MY POINT OF VIEW AND MINE ONLY!!
15 comments:
Yes, good one, at least someone seen these. Baad choices, wengine ni marekebish madogo tu wangekuwa bomba. kaka naniii hata angefunga vifungo vya shati abadili tai, would have made a huge difference, this guy is suppossed to be one of the face of the night but look at the mess. na hao wengine hapo juu unaweza kuta kumekuwa hamna nguo ya mtoko ati, who knows?
thank you yani its true kabisa hata kama watu wanajaribu to be different lakini isiwe too much halafu inategemea na event yenyewe jamani
Ni kama ulikuwa kwenye mawazo yangu ulivyosema ni sawa huna chuki na mtu wala hutaki kuumiza hisia za watu ni muangalio tu na kufanya marekebisho.
Big ups to you my dear u r very right this tym Killy alichemka vibaya mno the dress noooooooooooooooooo at ol. Wakina Ezekiel n Wolper tumeshawazoea they always over do at the end wanaishilia kuonekana kituko n Lundenga mshauri wako alichemka you luk lyk muhuni flani hv
Yes 100% worst dress ever...those two movie stars look ridiculous! are they going to the ballet dance!How can they wear "tutu" jamani? Na hizo nywele zao basi uwiiii like " street girls"And who is that with tight and sandals? it seems like first time for her being there!I wish she could put on heels, replace the blouse with a jacket and little blouse inside, na nywele basi mwe! I think woman in black dress is alright according to her body!
Nana
haha the light bwana!! umesema ukweli kuhusu worst dress gauni la Kill kubwa kifuani.. na mwenzake kubwa kiunoni yaani hayajawakaa vizuri at ol but nijuavyo binadamu watamind tuu japo ur comment ni sincere..hao bongo movies kwa kweli i've never seen them looking gud hata siku moja, wanaonekanaga WACHAFU tuu.
The truth has been told... we need to take in criticism in order to improve better... love your guts gal way to go blogger
Thats gud my dear Nuru nafuu hata umewaambia ukweli next time watajirekebisha,ila kuna wengine umewasahau......
shamim umemuona dear? did she wear perfect according to her status? for me she is so simple.
LET THE TRUTH BE TOLD, THIS IS HOW BLOGGERS SHOULD DO.NORMALLY WHEN I READ OTHER BLOGS (NOT TANZANIANS) THEY TEND TO POSITIVE CRITICISE, ILA SIE WABONGO WE JUST LIKE KUSIFIWA HATA KWA UONGO. BLOGGERS PUT FOTOS AND THEY WILL JUST GIVE PRAISE WITHOUT CTITICISING THE WORST. THIS IS THE WAY TO GO. WELL DONE NURU. EVEN MAJUU GOT FASHOIN POLICE, WHY NOT US.
Uneenda na ww tuku fashionpolice basi! Mwacheni Shamim wa watu! Kila mtu ana choice yake! Damn it!
Hahaha! Jamani watu wengine wanailazimisha Fashion wakati bado hawajaielewa :)) Haya mjifunze! kuvaa kazi Pia mtu Lazima uielewe Fashion HASWA sikitoto!!! Mnataka kusifiwa hata mlipokosea?Loool! Haya Mwamvita ulipendeza saana tu... Habari Ndo Hiyooooooo!
i think gauni ya zainabu its not bad, i think it has the 40's fashion trend. However that dress its for a taller person. she too short to pull that dress off. aia really like the dress. dada Kili naona amechemsha hakuna cha kumtetea hapo
atleast umesema wewe...ao kina aunt ezekiel ndo kabsaaaaaaaa...disco kaingia mmasai duh,...they look better with their normal outfits ata wangeenda nazo hapo wudve understood,...lakini duh..ata gaga mwenyewe wears a scary collection with a good outlook....something i think some people right here dd try to do but forgot to look at themselvs kwenye mirror before they left..shameee...shameeeeeeee..
way to go girl,yaani this is the onluy blogg nimeona umeweka worst dressed and they truly r worst.i love ur guts Nuru.ila i think Shamim shuld hav bin in the list as well.she ddnt dress as 4 the occasion n infact it was way too simple.hao bongo movies stars cjui wanamatatizo gani maana i have never seen them better dressed anywhere.they seek attention kwa nguvu sana jamani,tumeshawaona so enauf of their attention seeking agenda.Lundenga shul hire a designer n huyu dada mwenye leggins i think ni mara yake ya kwanza so simlaumu sana.
Post a Comment