what is it that you dont undastand about her dress..,my god na picha umeona kama ulikosa la kusema ungekaa kimya tu wakati mwenywe kapendeza na nguo yake..,
Wewe ndo unaona kapendeza mimi sijalikubali kabisa hilo vazi limekaa kitoto na rangi pia sio nzuri usimsifie uongo nuru wewe ukipewa hilo gauni utalivaa?kua mkweli,...
exactly mm nimemuona kapendeza na amependeza kweli kwani uwongoo,,like i said ss kama gauni hujalielewa wats the point of even commenting it maana shughuli ishafanywa na mambo ndo hayoo kama unayavyoona..,watu wengine mnajipaga kazi hata haziwahusu..,yes ningeivaa na kupendeza ningependeza..,vitu vengine ni issue ndogo tu hazina haja ya kukuzwa..,ww km gauni hujalipenda is all good ila mwenzio ndio choice ake na sherehe washamaliza..,
Kapendeza, mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni, swali langu ni kwamba, huyu dada si alishaga funga ndoa? why kitchen part again? au alisahau kufanya bfore?
5 comments:
Ok! Sijalielewa bado hilo vazi la Nargis Lol!

Post a Comment