Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Friday, September 23, 2011



jackie cliff..,

REHEMA A.K.A MAMA KIBUNJU..,





MY PEOPLES WASI N ANNA..,







ME WITH A FAN...,











4 comments:

Anonymous said...

ur so good at critising your friends.sasa wewe ndio umevaa nini.to make it simple tumechoka na hiyo pochi ya kijani kama unaipenda sana tafuta na nyekundu yake.na those shoes are so OUUUUUUUTTT

NURU THE LIGHT said...

kumbe ukweli unaumaa eeeh!!!
like i give a shit na pochi utaendelea kuliona dadaaaa n kama ulikuwa unataka nawewe katafute lako..,ill always speak my mind na nimevaa nguo na viatu km picha inavyoonyesha..,unafkiri ukiniambia mm sijapendeza ntamind.wakati kupendeza nnajua.,hahahaha

Anonymous said...

Pochi mbona zuri sana tu! Nuru ukiona hivyo ujue hana pesa ya kununua LV huyoooo... Yori Yori bibieee Pochi litabebwa kwa Kaenda mbele! Piga kimya Wewe kenge.

Anonymous said...

Wow every thing was on point Nuru, i actually love that bag, najua ukirudi utakuwa na nyengine so naomba ukija uniachie hiyo ya green kipenzi, skirt very nice, those shoes are still on dear,and that tank top, u just killed it. love u mwaaaaaaaa

Nuru please note: Mahaters usiwe unawajali na comments zao mbaya kama sura zao


Fashionistaaaaa