HAS BEEN ARRESTED FOR KILLING HER TWO CHILDREN.THE OLDER ONE WAS EIGHT YEARS OLD AND THE YOUNGER ONE WAS FOUR..,I AM SO SAD THAT THIS WHOLE SITUATION ENDED UP SO BADLY DUE TO SO MANY CIRCUMSTANCES IN HER LIFE BUT ALSO THE SOCIETY AND THE SWEDISH COMMUNITY FOR LETTING HER DOWN.IT IS NOT OUR JOB TO JUDGE BUT TO PRAY AND HOPE THAT IT DOESNT HAPPEN AGAIN
NA SISI AS A BLACK COMMUNITY IN SWEDEN TUWE TUNASAIDIANA ILI TUEPUSHE KITU KAMA HICHI KISITOKEE.,MPAKA MWANAMKE AKAFIKA HATUA YA KUUWA WATOTO WAKE NI MAMBO MAKUBWA SANA YATAKUWA YALIMKUTA GRACE.,.,MUNGU AWALAZE PEMA MALAIKA HAWA WAWILI.,
20 comments:
OMG pole sana..aliwauwa na nini? poison? is he from Kenya??? inasikitisha sana:(
Lilian
Usifanye mchezo na stress za ULAYA! watu hawana kazi wala pesa ni tabu tupu!
Kumbe ndio huyu mwanamke mwenyewe nimesikia kwenye habari lakini sikuona sura yake ..sijui ni nini kilimkuta maskini ....kwa kweli inasikitika sana ..Roho za malaika hawa wawili zilazwe mahala pema peponi. Amina.
What a tragedy!!
Poleni sana ndugu zangu huko sweden tumuombee huyu dada kapatwa na tatizo si la kawaida hilo ni pepo baya sana tulikemee kwa jina la Yesu lishindwe litokomee (watoto Mungu awalaze pahala pema peponi ameni)
Stress kila kona duniani,hata matajiri wanauwa familia zao na pesa zote na kazi wanavyo.Na wanaotupa vichanga jee huko afrika?Kama huna cha ku comment kaa kimya.
Dada utakaa kimya Wewe! Kwani hukubali ULAYA ni stress tupu na sio nasema hivyo kwa ubaya hizo ni stress na huna haja ya kulipuka kama moto au Wewe imekugusa ndio nyie nyie wauwaji nini?
ila nawewe unayesema ulaya stress tupu afrika kna raha gani duniani kote kilamhali kuna stress huko afrika mangapi yanatokea watu wanachinjana kila siku vijiji vingi vya afrika nimatatizo matupu wengine wanakunywa sumu wanauwa na watoto wao magazeti yanandika afrika everyday iweje wewe ushadadie ulaya tuu huna hayawewe.usojua vbaya.
IT DOESNT MATTER KAMA NI ULAYA AU AFRIKCA OR WHATEVER THE CONTINENT STRESS ZIPOO KILA EVERYWHERE. THIS WOMAN IS VERY SICK IN EVERY WAY AND WHAT HAPPENS IS SO SAD. Every1 who knew the woman let the boys DOWN BIG TIME at their very hour of need.
it is so true that problems and stress exist evrywhere..what matter is the support u have around you that make you get trough our toughest times in life..,this woman was let down by the society, social services,ss waafica wenzake tulioko huku.,as an african community we also have a responsiblity kutwa kukaa watu kusemana mpaka mwanamke wa watu kaona apeleke wapi shida zake so it is not our job to judge but to learn from this tragedy...,
Mbona hamkubali ULAYA ni Stress na hilo wengi wanalijua walioko ULAYA!mnaogopa kurudi kwenu Ndo maana mnajidai Africa Pia kunastress lakini hazifikii za ULAYA!Mimi ULAYA hata kwa pesa siishi watu wenyewe wa ULAYA wengi wao wakoshukaga Bongo washamba wamejichokea sijui mnafanya nini huko ULAYA?????
well said Nuru and Juce,stress ni ugonjwa na watu walioko nje most of them ukiwaambia matatizo yako hawakutatulii na zaidi wanakusema na kukunanga so it become even worse,simjui huyu dada but from the story hata pics can tell sidhani kama alikua mkatili hivyo,alikata tu tamaa.lets each and everyone of us especially you guys abroad be a brother`s/sister`s keeper,no matter the circumstances.very sad
Nimakosa sana kuweka picha ya mtu ambae bado yupo maabusu na hajakati wa kesi ni kosa la jinai. so dada yangu nuru angalia vizuri ndio maana magazeti yote ya sweden ayajaweka picha. na kuhusu ulaya nafikiri maisha ya ulaya ni mazuri kuliko ya africa tatizo ni watu wa africa ndio wanatupa stress. utakuta familia nzima included wajomba binamu, shangazi majirani marafiki nakadhalika kila siku wanapiga simu eti wanashida, so ukiendekeza shida zo utajikuta unapata matatizo mengi.inabidi tupunguze msaada yani sis watu amba tunaishi ulaya tunapeba mzigo ambao serikali za kiafrika na umoja wa kimataifa zimeshindwa.
wewe umeshupalia ulaya ulaya utakua umedepotiwa sio bure lol sijapata ona khaaa chill out gal### watu wengine bwana
Hahahah! Naishi Bongo Dada ULAYA Hakuna mpango wengi wenu wachovu na kwenu mnaogopa kurudi maana Bongo ni kwa wajanja tu! You Chill out baby Africa Ndo dill sio ULAYA jina!
watu walionyimwa viza utawajua tu.eti ooh ulaya sikai ng'o mara watu wa ulaya wakirudi bongo washamba,ushambenga tu huo. we sema tu huna makaratasi ya kukaa ulaya na sio kujidai hupataki.lol
All in all, tulioko ULAYA tujifunze kutokana na hii story. tusaidiane na sio kusengenyana kutwa kucha.
wewe uliyeko bongo endelea kuwasha vibatari kwa mgao mlionao manake hii story haikuhusu.kwi kwi kwi.
Huyo anaesema ulaya stress nyingi atakuwa linyimwa visa, au hana hata hiyo nauli ya kumfikisha walau dubai bwahahahahahaaaaaaa unalo bibi wewe
Heheheeee! Visa ninazo za kila pande ya dunia mimi nimfanya biashara nasafiri kila pakikucha sasa mtaniambia kitu gani mie? Nyokoooooo!ULAYA tunapitaga na bongo tunaishi bibiee,... Aliyekudanganya kila mtu bongo anateseka kwa swala la umeme kakufira kweli! Kuna solar na njia zingine za Kua na umeme full time hun sasa swala dogo kama umeme ulivyokua mshamba linakuogopesha hata kuja kwenu,Poleni wa ULAYA Bongo tambarareeeee na mkishuka kutwa kushangaa watu!!! Nimemaliza msg umeipata endelea kubeba mabox sura mbaya kwa stress za ULAYA :)
Haa watu wa ulaya wananifuraisha. Wanawadanganya hao hao washamba ambao ulaya hawapajuhi. Kwa sisi tunaosafiri kila tunapotaka huwezi kutuambia kitu. I have a friend ambaye mume wake ni lecturer Netherlands (ni mghana) she is counting number of days amalize PhD yake warudi kwao maana ananambia karibu wanakuwa crazy. Maisha si maisha.
Kweli jamani stress za Ulaya na Afrika ni tofauti. Ulaya ukiwa na stress zinamfanya mpaka mtu anapata depression. Ndio maana cases za depression ni nyingi kwa sababu hakuna support system.
Lakini Afrika hata uwe na stress kiasi gani ni rahisi kuzihandle kwa sababu kuna social support kubwa, kuanzia mashoga, ndugu, majirani, wafanyakazi wenzio, you are never alone. Ukiwa na jambo lako hukosi wa kumwambia, hata kwenye dala dala ukitaka utamsimulia abiria wa kiti cha pembeni yako, hata sokoni waweza kumwambia muuza nyanya na akasympathize na wewe tofauti na Ulaya. Na kama mtu hajui kutumia formal system zilizopo basi anaishia kuwa kama huyo dada, na hata kama unajua utaogopa kuwa judged.
Kuhusu shida za ndugu ni kweli Afrika kila siku shida haziishi, lakini inategemea na familia unayotoka. Kuna familia nyingine husaidia watoto ndugu zao walioko Ulaya, mfano mimi ni mwanafunzi Ulaya lakini napata support kutoka nyumbani. Pamoja na hiyo support wako ndugu ambao hawaelewi kuwa ikifika falls ni majani ndio huanguka na si pesa, na hapo simu za kuomba hiki na kile zinapoanza. Kikubwa ni kuwa mkweli lakini ukijifanya kibopa basi utaumia. Bora uchekwe huna kitu kuliko kujipa stress za kufurahisha umati huku unaumia.
Post a Comment