Nuru acha ubaguzi! Sikatai una kosoa watu kwa uzuri ili watu wajirekebishe but kwa nn hujamtoa Mwamvita kama kweli unapenda kazi za the so called you brother Sheria Ngowi,Kiki je? zote hizo zimedesigniwa na Sheria.
Umemtoa Millen ukamkata Kiki! Acheni bif za kitoto wa dada wa mujini!
first of all anon m name is Nuru incase ulikuwa hujui na sio wadada wa mujini.., second of all Sheria is not my so called brother he is my brother,friend,fan,and a big supporter of my blogging so kama ulikuwa unamtaka labda ongea tu vizuri na mm n ill hook a girl up!!if u r his type that is.., third naona mara zoteeeeeeeee ulokuwa ukimuona kiki or her designs,or matangazo ya dukani kwake hapa ulikuwa unaona giza mpaka leo ndo umemjua kiki mpaka kuamua kuspeak on her behalf..,as if unalipwa.., CHA MWISHO KABISA NI KWAMBA MTATAKA SANA SS MABLOGGER TUGOMBANE ILI NYINYI MFAIDIKE LAKINI HILO HALITOTOKEA MAANA NDO NYIE NYIE MKIINGIA HUMU HALAFU KWA MWENGINE NA KUANZA TUNGA VITU AMABAVYO HAVIPO NA HIVI HAMCHOKIII.,SINA ZAIDI ILA HAYO TU KWA LEO!!
Halafu we anony hapo juu baada ya kudiscuss hiyo mada kwa ofisi ukaamua uandike kabisa na comment!? yatakushinda bibi, kwa taarifa tu hizo bifu nyie ndo mnaoziibuaga na maneno yenu ya kinafki na ugombanishi. Kwanza huyo kiki wamjua wewe? jisura baya kupita maelezo ,badala ya kutafuta mbinu za kuutengeneza huo uso uendane na umbo lako uko kwenye ufitini.
4 comments:
Nuru acha ubaguzi! Sikatai una kosoa watu kwa uzuri ili watu wajirekebishe but kwa nn hujamtoa Mwamvita kama kweli unapenda kazi za the so called you brother Sheria Ngowi,Kiki je? zote hizo zimedesigniwa na Sheria.
Umemtoa Millen ukamkata Kiki! Acheni bif za kitoto wa dada wa mujini!
Ukitaka bania hii comment but message sent!
sorry I meant to say Kiki and not Mwamvita! Kiki's dress was designed by Sheria lkn hujamtoa umekata
first of all anon m name is Nuru incase ulikuwa hujui na sio wadada wa mujini..,
second of all Sheria is not my so called brother he is my brother,friend,fan,and a big supporter of my blogging so kama ulikuwa unamtaka labda ongea tu vizuri na mm n ill hook a girl up!!if u r his type that is..,
third naona mara zoteeeeeeeee ulokuwa ukimuona kiki or her designs,or matangazo ya dukani kwake hapa ulikuwa unaona giza mpaka leo ndo umemjua kiki mpaka kuamua kuspeak on her behalf..,as if unalipwa..,
CHA MWISHO KABISA NI KWAMBA MTATAKA SANA SS MABLOGGER TUGOMBANE ILI NYINYI MFAIDIKE LAKINI HILO HALITOTOKEA MAANA NDO NYIE NYIE MKIINGIA HUMU HALAFU KWA MWENGINE NA KUANZA TUNGA VITU AMABAVYO HAVIPO NA HIVI HAMCHOKIII.,SINA ZAIDI ILA HAYO TU KWA LEO!!
Halafu we anony hapo juu baada ya kudiscuss hiyo mada kwa ofisi ukaamua uandike kabisa na comment!? yatakushinda bibi, kwa taarifa tu hizo bifu nyie ndo mnaoziibuaga na maneno yenu ya kinafki na ugombanishi. Kwanza huyo kiki wamjua wewe? jisura baya kupita maelezo ,badala ya kutafuta mbinu za kuutengeneza huo uso uendane na umbo lako uko kwenye ufitini.
Mczsziiiiiiiuuuuuuuuuu
Post a Comment