jAMANI DEVOTA NIMEMPENDA SANA ANAONEKANA YEYE YUKO SIMPLE HANA MASHAUZI,UKIANGALIA NA WASICHANA WENGINE,HALAFU NIMEPENDA YUKO NATURAL YEYE ANAONYESHA MFANO MZURI SANA KWA WAAFRICA AMEAMUA KUKAA NA NYWELE ZAKE,MAANA KILA MTU ANAVAA NYWELE ZA KIBLAZIL NA KIINDI,WANAFIKIRI NI UZURI KUMBE WANAFICHA UZURI WAO AU UBAYA WAO,WELL DONE DEVOTA MIMI MWENYEWE NIMEENDA NATURAL KAMA WEWE NO EXT KWENYE KICHWA CHANGU,.
naomba umwambie Devota nilienda kwenye duka anapofanya kazi,yaani alinisave vizuri sana,sikujua kama nimtanzania mpaka nilipofungua hii blog nakumuona nikamuuliza shoga yangu jamani kuna msichana kanisave vizuri sana anafanana na huyu wakwenye blog,shoga akasema ndiyo huyu,eeh nimsichana mtaratibu nanilienjoy kufanya shopping,.Thanks Devota.
Nuru wewe nimzuri sasa haya manywele achana nayo jaribu kuwa na nywele zako kama Devota au suka kibongo achaneni na manywele ya kiindi,kunaprogram niliangalia inasikitisha kuhusu watu wanavyouza nywele sababu ya shida,yaani wanakata nywele zao kuuza wapate pesa yakula i think that is wrong.
Nadhani devota anapendeza sana na nywele fupi anaonekana yuko so so fresh,more than manywele ya bandia yanamfanya aonekane mkubwa sana. Ni maoni yangu tu usichukulie hasira
Devota anaongeaga vizuri na kila mtu na ukimkuta kwenye biashara zao ndio utampenda zaidi, Mimi nilipita kwenye one of their shops alinipokea vizuri japo sikununua kitu! Kitendo cha yeye kunipokea vizuri kilinifanya nipate hamu ya kurudi na kufanya shopping ya Nguvu kwa raha zangu.
Oh kumbe lile duka ni biashara yao,wow sikujua kabisa Nuru tudokezee,msichana wala hana mashauzi,nyie ndio watu wamaana kama lile duka nilakwao au sio lakwao i still love this girl,money is not everything,.
Kumbe ulikua hujui? Tena wananyo Maduka 6 Hapa Sweden,Mimi naendaga kujifanyia shopping zangu na kumuunga mkono mtanzania mwenzangu ,... Bei zao ni KUBWA lakini Ndo hivyo! Ukitaka nguo viatu na mabegi ya MAJINA inabidi kujikakamua na Kuitoa pesa.Devota endelea kutuletea Fashion za Ukweli my dear.
14 comments:
Mmpendeza warembo, devota unazidi Kua mzuri My dear
AHSANTE N YA SHE DOES...,
jAMANI DEVOTA NIMEMPENDA SANA ANAONEKANA YEYE YUKO SIMPLE HANA MASHAUZI,UKIANGALIA NA WASICHANA WENGINE,HALAFU NIMEPENDA YUKO NATURAL YEYE ANAONYESHA MFANO MZURI SANA KWA WAAFRICA AMEAMUA KUKAA NA NYWELE ZAKE,MAANA KILA MTU ANAVAA NYWELE ZA KIBLAZIL NA KIINDI,WANAFIKIRI NI UZURI KUMBE WANAFICHA UZURI WAO AU UBAYA WAO,WELL DONE DEVOTA MIMI MWENYEWE NIMEENDA NATURAL KAMA WEWE NO EXT KWENYE KICHWA CHANGU,.
Devota unajua kuvaa sio siri,... Nuru ukibana nywele unapendeza kama katoto vile... Keep it up girls you Rocks!
NAKUWA MDOLIDOLIIIIIIIII!!!
naomba umwambie Devota nilienda kwenye duka anapofanya kazi,yaani alinisave vizuri sana,sikujua kama nimtanzania mpaka nilipofungua hii blog nakumuona nikamuuliza shoga yangu jamani kuna msichana kanisave vizuri sana anafanana na huyu wakwenye blog,shoga akasema ndiyo huyu,eeh nimsichana mtaratibu nanilienjoy kufanya shopping,.Thanks Devota.
Nuru wewe nimzuri sasa haya manywele achana nayo jaribu kuwa na nywele zako kama Devota au suka kibongo achaneni na manywele ya kiindi,kunaprogram niliangalia inasikitisha kuhusu watu wanavyouza nywele sababu ya shida,yaani wanakata nywele zao kuuza wapate pesa yakula i think that is wrong.
haya anon wa kwanza ntamwambia kuwa ulienjoy the shopping..,
ok mdau i will try as long as i can kukeep ma own hair ahsante mdau namimi niliona the programme ya inasikitisha sana..,
Nadhani devota anapendeza sana na nywele fupi anaonekana yuko so so fresh,more than manywele ya bandia yanamfanya aonekane mkubwa sana. Ni maoni yangu tu usichukulie hasira
Devota anaongeaga vizuri na kila mtu na ukimkuta kwenye biashara zao ndio utampenda zaidi, Mimi nilipita kwenye one of their shops alinipokea vizuri japo sikununua kitu! Kitendo cha yeye kunipokea vizuri kilinifanya nipate hamu ya kurudi na kufanya shopping ya Nguvu kwa raha zangu.
Oh kumbe lile duka ni biashara yao,wow sikujua kabisa Nuru tudokezee,msichana wala hana mashauzi,nyie ndio watu wamaana kama lile duka nilakwao au sio lakwao i still love this girl,money is not everything,.
Kumbe ulikua hujui? Tena wananyo Maduka 6 Hapa Sweden,Mimi naendaga kujifanyia shopping zangu na kumuunga mkono mtanzania mwenzangu ,... Bei zao ni KUBWA lakini Ndo hivyo! Ukitaka nguo viatu na mabegi ya MAJINA inabidi kujikakamua na Kuitoa pesa.Devota endelea kutuletea Fashion za Ukweli my dear.
Mwanvita makamba Irene kiwia Nancy sumari Devota Johansson Nuru na devota diva Napenda mnavyovaa Yani kiujimla mnajua kuvaa Sana tu!
HAPANA CHEZEA MAMAA AWESOME RAGS A.K.A MRS JOHANSSON!!!UKO JUUUUUU KAMA NYOTA,...WELL DONE!
Post a Comment