Devota kama nakuona na bonge la dress kwenye wedding yako, funika mbaya Mtoto mnamiliki maduka ya Awesome Rags lazima utoke Awesome...Hongera sana umepiga step kubwa.
Nuru uturushie picha za Harusi Maana kila mtu anaizungumzia hiyo Harusi, watakoma Waliokua wanazani Kua mzungu hata beba jumla jumla! Kazi kwenu Harusi Ndo hiyo inakaribia mtabaki midomo wazi!
Hiyo wedding itakua noma! Maana devota hapa bongo marafiki zake ni wa hali ya juu Sasa sijui itakuaje?funika Dada tunakujua Wewe mkali wa pamba.... Hongera zako
Devota Najua wengi bakora zako zimewachapa ipaswavyo kwa sababu Walijua utatangatanga Kumbe Mtoto wa kike Wewe akili zimekujaa na maneno yao hukuyasikiliza Sasa Leo wamebaki na aibu hawajui la kuzungumza na Bado! Nakutakia maisha mema na marefu.
7 comments:
Chezeaaa devota wetu... Anakwenda na mapigo sikitoto... Uko juuuu Dada na utazidi kukaa huko huko juuu! Chini Hakushushi mtu mambo yako super!
Devota kama nakuona na bonge la dress kwenye wedding yako, funika mbaya Mtoto mnamiliki maduka ya Awesome Rags lazima utoke Awesome...Hongera sana umepiga step kubwa.
Nuru uturushie picha za Harusi Maana kila mtu anaizungumzia hiyo Harusi, watakoma Waliokua wanazani Kua mzungu hata beba jumla jumla! Kazi kwenu Harusi Ndo hiyo inakaribia mtabaki midomo wazi!
Hiyo wedding itakua noma! Maana devota hapa bongo marafiki zake ni wa hali ya juu Sasa sijui itakuaje?funika Dada tunakujua Wewe mkali wa pamba.... Hongera zako
Kwa kweli watajibebaaaa! Devota Wewe kiboko yao
ooonana whats ma name ooh nana whats ma name whats ma name whats ma name nimekumbuka iyo tu

Post a Comment