Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Friday, March 11, 2011

PICTURES THAT TELLS A STORY OF HOW THE OUTFIT STARTED AND ENDED!!HAHAHA

IT STARTED OF SO INNOCENTLY WITH MY BLACK TOP,A LEOPARD SKIRT AND WELL WHAT ELSE CAN I ADD..,MMMMMHHH
YAAA WHY NOT LET MY HAIR DOWN ON ONE SIDE AND ADD SOME HEELS TO IT..,SO FAR SO GOOD!!!



AND THIS IS HOW I ENDED UP GOING OUT AFTER ALL THE HUSTLEEEEE HAHAHAHA.,WANAWAKE BWANA TUNA VISA MNOOOOOOOOOOOOOO!!!!




13 comments:

Anonymous said...

pretty

Anonymous said...

KUNA KITU KIMOJA TU BADO HUJAWA EXPERT DADA YANGU MAKEUP MAKE UP MAKE UP BADO YAANI SIJUI NIKWAMBIAJE UNAKUWA KAMA UMEPAKA VUMBI I DONT KNOW BUT MY ADVICE TO U IS JARIBU KUBADILI MAKE UP YAKO THAT ONE DOESNT SUIT U KWAKWELI

Anonymous said...

YANI I JUST THINK U R SO PRETTY NURU, JUST LOVE YOUR BODY AND YOU TRULY KNOW HOW TO DRESS

NURU THE LIGHT said...

thanks anonys..,

the anon that commented about my make up i couldnt agree with u more this is a pic from last year n i was using a wrong colour oh lets say foundation but now i have the right on..,

Anonymous said...

jamani msiwe mnakataa mnapoambiwa ukweli dada nuru ni kweli hata mimi make up zako bado saana unakuwa kama umepaka vumbi usoni yaani sijui kwanini jamani na wewe upo ulaya kuna make nzuri saana niujue kuchagua kutokana na colour yako mpendwa usikasirike kuambiwa au kukosolewa kuna watu wamesomea hayo mambo so wanajua wanapoona uko wrong dear just agree my love we love yall

Anonymous said...

try to appear a bit natural, unaonekana kama unajaribu sana kupose. Halafu ukiwa interviewed kny tv mdogo wangu, tumia lugha mooja. kiswanglish in such a public arena is a bit tacky

medusa

Anonymous said...

Mi sikufagili wala nini, kwanza mbishi-mbishi, unajiona ndo umefika...kumbe ndo'kwanza chekechea. unapolosolewa kuwampole ndio utafanikiwa sio jazba. Nziiiiiiuuuuu....

NURU THE LIGHT said...

thanks wadau who talked about my make-up maana hizo comment ni za kunisaidia mm to improve my appearance.,

medusa umenifurahisha sana maana hata hao wanaonihoji hawajawahi niambia ni tacky but naona unanifuatilia sana..,why not!!!

haunifagilii na umo humu ndani jiulize nani ni mjinga wewe ulopoteza muda wa kuandika hiyo comment..na mungu kashanibariki na vingi na anazidi..,ameena

Mirfat said...

you rock nuru,look good kama kawa

Anonymous said...

acha mdomo bibiwe unakera sisi kama wadau wablog yako tunapoona makosa tunakwambia halafu unatuletea mdomo unataka tukusifie hata pasipo stahili ham,na kitu kama icho umufungua blog ili wadau tuangalie au ulifungua ili uingie peke yako unapokosea kubali makosa somga mbele sio kila saa unawaza kuhatetiwa tu tukuchukie kwa lipi tunakupenda ndio maana tunakwambia ukweli.

Anonymous said...

He he, hao wanaokuhoji darling ni wannabees, nakufuatilia? im not that bored yet. It's a bitter pill to swallow but take heart and swallow. Ukweli unauma lakini ujumbe umefika. Tacky it is. Instead of going on a defensive spree get correcting.

medussa

NURU THE LIGHT said...

u jst proved my point medusa..,hahahah

Anonymous said...

medusaaaaaaa YOUR A LOSER..... TAFUTA KAZI YA KUFNYA.... Afu yule Mwalimu wa kizungu na kiswahili yu wapi jamani maana kunawatu wamechapia sanaaaaaaa including MEDUSA naomba apitishe fagio humu jamani,Ili uwacorrect


Me love u na ualimu wako lol

mDAU