you know nuru, if u put info on ur photos it wouldnt be so bad, sasa kama who is this? and wats the story? wats the point of putting this here if ur not telling wot happened ina maan tu-guess au? na hapo chini sayona juic? how does it coorelate mbona unakuwa kama sio pro -blogger bwana? no h8 jis saying sometimes we dont even know kinachoendelea kunakuwa na no point of bloggin kama hamna info n we are not informed na hiii sio hata mara ya kwanza
oh mdau nimekuelewa ila kuna vitu napenda kuweka kiundani hata kama nimeonyesha hapa..,but i see ur point and am gonna get better on that..,ahsante
this woman showed so much love and respect and it made me realise kuwa mm nimelelewa kupenda mtu wa aina yoyote and for that nampenda na sitomsahau maishani mwangu..,ni mama anayeheshimu kazi yake sana
then ungeweka hapo watu waelewe, mara nyingi hatuelewagi unacho andika na inakuwa vigumu mtu kuelewa tunabaki kukushangaa, jaribu kufafanua kitu unapoweka kwenye public
we mdau wa hapo juu, anony 9:44am Ukiwa unatoa maoni yako jisemee wewe kama wewe usiwe unajumuisha kila mtu, wewe kama huwa huelewi shauriyako au pengine kichwa chako kizito kuelewa, uwe unasema maranyingi wewe kama wewe huelewagi na iso " hatuelewagi" me personally i understand what she means. na pia nakushauri ukashangae baharini meli inavyo elea wakani shillingi inazama...mzxiuuuuuuu
8 comments:
you know nuru, if u put info on ur photos it wouldnt be so bad, sasa kama who is this? and wats the story? wats the point of putting this here if ur not telling wot happened ina maan tu-guess au?
na hapo chini sayona juic? how does it coorelate mbona unakuwa kama sio pro -blogger bwana?
no h8 jis saying sometimes we dont even know kinachoendelea kunakuwa na no point of bloggin kama hamna info n we are not informed na hiii sio hata mara ya kwanza
oh mdau nimekuelewa ila kuna vitu napenda kuweka kiundani hata kama nimeonyesha hapa..,but i see ur point and am gonna get better on that..,ahsante
this woman showed so much love and respect and it made me realise kuwa mm nimelelewa kupenda mtu wa aina yoyote and for that nampenda na sitomsahau maishani mwangu..,ni mama anayeheshimu kazi yake sana
Glad to know the story bhind that woman, looked so humble
ur welcome..,
And she loves you dearly
MDAU
then ungeweka hapo watu waelewe, mara nyingi hatuelewagi unacho andika na inakuwa vigumu mtu kuelewa tunabaki kukushangaa, jaribu kufafanua kitu unapoweka kwenye public
Bora mdau wa kwanza ulivyosema,mwenyewe nimeona picha nikawa najiuliza wat does this mean sikupata majibu nikapotezea!
we mdau wa hapo juu, anony 9:44am Ukiwa unatoa maoni yako jisemee wewe kama wewe usiwe unajumuisha kila mtu, wewe kama huwa huelewi shauriyako au pengine kichwa chako kizito kuelewa, uwe unasema maranyingi wewe kama wewe huelewagi na iso " hatuelewagi" me personally i understand what she means. na pia nakushauri ukashangae baharini meli inavyo elea wakani shillingi inazama...mzxiuuuuuuu
Mdau
Post a Comment