amber looks ugly kwenye hiyo pic ya pili mihipsi mikubwa mno, hata mimi na mihipsi mikubwa jamani hebu niambie kama kuna jinsi ya kupunguza hipsi tu mazoezi gani, juu nibaki hivyo hivyo, yani yapungue kidogo, maana sipendi yachomoze sana, yani juu niko kama hapo amber, nguo nyingi nashindwa kuvaa, cause i attract too much attention and inaboa sana, please help,hipsi ziwepo lakini sio kivile kha, namimi nikinenepa naanza na hipsi na tumbo, kifua changu kidogo cha kawaida. Tako libaki lakini zipungue, tako langu lakawaida linaendana na juu.
work out baby girl, running at least 30min 3 times a week can help to keep thos hips in shape, or u could do lunges, or go if u have steps at ur house or some where close go up and down the stairs....
4 comments:

Jamani uso wa jenifer unaonekana kakomaa sijui kwa sababu ya kupungua. figure nzuri lakini uso umekomaa sio kama zamani.
work out baby girl, running at least 30min 3 times a week can help to keep thos hips in shape, or u could do lunges, or go if u have steps at ur house or some where close go up and down the stairs....
We mwanamke ntakuchapaaa, sasa hutaki hips kama za amber kwa nini mbona kama uko hivyo ni poa tuu, maana juu mwembamba na hana tumbo
Post a Comment