I Dont Care watu wengine kama juzi tu niliona Comment Kuhusu Kanye na Amber kama Kanye, Ni Gay mie pia nafikiri awe gay au si Gay yeye ndio anajijuwa ni ujinga tu wa Mind za watu wasiojiamini mavazi kufikiria ni ya ki Gay.. Mie kama Mwanaume nitazidi kupiga Pamba mfano wa Kanye au Chris Brown Nuru zidi kuleta Mambo kule Nurutheboss na sie tupendeze. MZ.
3 comments:
Kanye can dress! Wanaume zetu wakibongo igeni mifano!!!
I Dont Care watu wengine kama juzi tu niliona Comment Kuhusu Kanye na Amber kama Kanye, Ni Gay mie pia nafikiri awe gay au si Gay yeye ndio anajijuwa ni ujinga tu wa Mind za watu wasiojiamini mavazi kufikiria ni ya ki Gay.. Mie kama Mwanaume nitazidi kupiga Pamba mfano wa Kanye au Chris Brown Nuru zidi kuleta Mambo kule Nurutheboss na sie tupendeze. MZ.
MZ PIGA PAMBAAAAAAAAAAA UKIJALI BINADAM UTAKUFA KWA STRESS ZISIZO NA MAANA..,ALL THE BEST
Post a Comment