Hahahahahahaaaaaaa nakuunga mkono we anony hapo juu, kweli kabisaa tafuta kazi acha umbea, na kama unakazi basi sio challenging, tafuta kazi ambayo itakukosesha mda wa umbea, sorry if your offended but thats the truth.
hahahaha,ungejua kazi nayofanya ungefunga mdomo wako mjinga ni wewe unaekaa kujibishana na watu wanaocommet kitu ujaulizwa wewe unarukia,ujinga tu...Out of here...No need to argue with a fool...
Hivi lakini kwanini watu tunapenda majungu. Hata mimi nimeziona hizi picha na nikaipenda hiyo sehemu. Na nikawa najiuliza kimoyomoyo, hapa ni wapi ningependa kupatembelea na mimi na wageni wangu. Beach inaonekana nzuri na safi. Lakini loh hayo majibu ya humu ndani! Yaani kuuliza jina la sehemu ndiyo issue kiasi hichi? kwanini mtu ukiuliza unaambiwa ni umbea? what a pity!
Asante mwenzangu kwa kunisaidia mana nashangaa huyo ananijia kwa hasira unadhani analipwa,kweli some people are psycho cuz i dont know what bad i said there zaidi ya kutaka kujua ni sehemu gani mana nafahamu ni Tz nilitaka kujua ni wapi mana nimepapenda..Sidhani kama kuuliza ni ujinga...Lakini huyo anayejibu tushamfahamu haisumbui...U will just end the way u are!!!
JAMANI SASA IMETOSHA MSIFANYE KITU KIDOGO KIKUBWA SANA..,MM SIPENDI HII ISSUE INAPOKWENDA.,., DEVOTA IS A VERY CLOSE FRIEND OF MINE NA SIKUMUWEKA HAPA ILI NYINYI WATU MTUKANANE SAWA BECAUSE THIS IS NOT WHAT NURU THE LIGHT IS ABOUT!!AHSANTENI
19 comments:
Beautiful!Enjoy ur Life Devota!!!
Waukweli Devota Nakuaminiaaaaa mwanamke!!!!!!!!!!!!
Beautiful girls!
Devota u look Nice My dear!U girls are so Hot!
NICE PLACE NI WAPI HAPO NURU???
DEVOTA NI MZURI SANA JAMANI
TANZANIA!!!
Devota You and ur Friends are Beautiful and Very Classy!
NAJUA NI TANZANIA LAKINI NAULIZA HAPO NI WAPI I MEANT WHATS THAT PLACE CALLED...MAJIBU YA MKATO SI MAZURI DADA...AM JUST SAYING
Wewe maswali yako ya kinoko unataka kujua ni wapi ili iweje? Nyoooooooo!!!!!!!
whoever that commented,you got some issues,masawli ya kinoko ndio nini?Sijakuelewa...Nimeuliza tu na sijakuuliza wewe nimemuuliza the blogger owner...
Wambea utawajua tu! Unataka kujua alafu iweje Sasa? Tafuteni kazi Acheni umbea!!!!!!!!
Hahahahahahaaaaaaa nakuunga mkono we anony hapo juu, kweli kabisaa tafuta kazi acha umbea, na kama unakazi basi sio challenging, tafuta kazi ambayo itakukosesha mda wa umbea, sorry if your offended but thats the truth.
Stake holder!!!
hahahaha,ungejua kazi nayofanya ungefunga mdomo wako mjinga ni wewe unaekaa kujibishana na watu wanaocommet kitu ujaulizwa wewe unarukia,ujinga tu...Out of here...No need to argue with a fool...
Hahahahaha huna kazi Wewe unahasira sana ya maisha!
Hivi lakini kwanini watu tunapenda majungu. Hata mimi nimeziona hizi picha na nikaipenda hiyo sehemu. Na nikawa najiuliza kimoyomoyo, hapa ni wapi ningependa kupatembelea na mimi na wageni wangu. Beach inaonekana nzuri na safi. Lakini loh hayo majibu ya humu ndani! Yaani kuuliza jina la sehemu ndiyo issue kiasi hichi? kwanini mtu ukiuliza unaambiwa ni umbea? what a pity!
Asante mwenzangu kwa kunisaidia mana nashangaa huyo ananijia kwa hasira unadhani analipwa,kweli some people are psycho cuz i dont know what bad i said there zaidi ya kutaka kujua ni sehemu gani mana nafahamu ni Tz nilitaka kujua ni wapi mana nimepapenda..Sidhani kama kuuliza ni ujinga...Lakini huyo anayejibu tushamfahamu haisumbui...U will just end the way u are!!!
Hahaha Wewe acha kujitetea hatutaki umbea hapa! Kwanza ulisema hutaingia tena huku Mbona umeeudi?Loooool...majibu utayapa ipaswavyo!
ni u-psycho wa hali ya juu, rafiki we achana nao hawa wasiopenda maendeleo. Ni ufinyu wa mawazo unasumbua.
JAMANI SASA IMETOSHA MSIFANYE KITU KIDOGO KIKUBWA SANA..,MM SIPENDI HII ISSUE INAPOKWENDA.,.,
DEVOTA IS A VERY CLOSE FRIEND OF MINE NA SIKUMUWEKA HAPA ILI NYINYI WATU MTUKANANE SAWA BECAUSE THIS IS NOT WHAT NURU THE LIGHT IS ABOUT!!AHSANTENI
Post a Comment