nice picture by the way me natka kujua raya una husiana naye kivipi if u dont mind!!! plza love youuu raha umekua mkubwa shostiiiiiiiiiiiiiiiiiiii mwaaaaaaaaaah
Du hilo jibu ulilojibu, mbona la ki husna..ungesema tu huyo dem ni nani wako family members ni wengi, fikiria ukiwa unajibu mtu comments zake... na mbona ukiwa uswahilini ushungi ukifika mjini vipaja hivyo...
6 comments:
Nice pics
thanks!!
nice picture by the way me natka kujua raya una husiana naye kivipi if u dont mind!!! plza love youuu raha umekua mkubwa shostiiiiiiiiiiiiiiiiiiii mwaaaaaaaaaah
nurat
I WROTE HAPO JUU KWAMBA THESE ARE MY FAMILY MEMMBERS..,
Du hilo jibu ulilojibu, mbona la ki husna..ungesema tu huyo dem ni nani wako family members ni wengi, fikiria ukiwa unajibu mtu comments zake... na mbona ukiwa uswahilini ushungi ukifika mjini vipaja hivyo...
HAHAHA NANI KAKWAMBIA NAVAA USHUNGI!!
PILI NANI KASEMA HAPO NI USWAHILINI!
TATU TULIKUWA TUNAENDA KWENYE HITMA YA MJOMBA WANGU SO ULIKUWA UNATAKA NIVAE MINI AU..,
Post a Comment