ME AND HERRY NASSER WHO WAS SUCH A WONDERFUL HOST!!
ME AND MY CUZ ANNA..,
MOI,BIJOUX AND FATMA..,
6 comments:
Anonymous
said...
Nuru umependeza sana na wote waliohudhria hiyo kibao kata, naomba nikuulize swali vipi unaolewa hivi soon? ama kibao kata kwa maana gani? mimi huwa nakupenda na ninapenda ku browse blog yako kwa kifupi mimi ni fan wako tafadhali nijibu , nimukuuliza kwa nia nzuri tu kwa kuwa huwa nafatilia sana blog yako.
OH WADAU U R SO KIND AND AM HUMBLED BY UR WISHES BUT AM NOT GETTING MARRIED YET AND ONLY ALLAH KNOWS WHEN AND WITH WHO WHICH AM VERY COMFORTABLE WITH KNOWING THAT HE LEADS THE WAY.,.,AMEEN
Sasa kibao kata ilikuwa ya nini if your not comfotable now naye? my dear sijaelewa Hichi Kibao kata Nuru kwa kuturusha roho??? sasa kwa nini unafanya kibao kata wakati huolewi??? Yaani nimefurahi nilijua ndoa itatangazwa soon msikitini. wewe ni msichana mwenye heshima na mstaarabu sana na Najua umepata bwana mstaarabu kama wewe:) Nassra:)
Nasra mie ni mdau tu wa hii blog, Namimi naungana nawewe kuwa bwana wake ni mstaarabu kama Nuru tu na wanaendana vizuri. sidhani kama alitaka kuturusha roho ila nadhani kama ulisoma vizuri ni marafiki zake ndo walio mfanyia hiyo kibao kata kwa lengo la kumuwish fare well on her trip back to stokholm sweden.
6 comments:
Nuru umependeza sana na wote waliohudhria hiyo kibao kata, naomba nikuulize swali vipi unaolewa hivi soon? ama kibao kata kwa maana gani? mimi huwa nakupenda na ninapenda ku browse blog yako kwa kifupi mimi ni fan wako tafadhali nijibu , nimukuuliza kwa nia nzuri tu kwa kuwa huwa nafatilia sana blog yako.
Awww...Nuru u look fabolus hilo gauni kwa kweli limekupendeza sana,Kwa ujumla wote mlipendeza sana.
Hongera my dear kwani anayekuoa kapata jiko zuri lenye heshima na moyo mzuri. Mungu akubariki katika ndoa yako.
Love.
Nassra:)
OH WADAU U R SO KIND AND AM HUMBLED BY UR WISHES BUT AM NOT GETTING MARRIED YET AND ONLY ALLAH KNOWS WHEN AND WITH WHO WHICH AM VERY COMFORTABLE WITH KNOWING THAT HE LEADS THE WAY.,.,AMEEN
Sasa kibao kata ilikuwa ya nini if your not comfotable now naye? my dear sijaelewa Hichi Kibao kata Nuru kwa kuturusha roho??? sasa kwa nini unafanya kibao kata wakati huolewi???
Yaani nimefurahi nilijua ndoa itatangazwa soon msikitini. wewe ni msichana mwenye heshima na mstaarabu sana na Najua umepata bwana mstaarabu kama wewe:)
Nassra:)
Nasra mie ni mdau tu wa hii blog, Namimi naungana nawewe kuwa bwana wake ni mstaarabu kama Nuru tu na wanaendana vizuri. sidhani kama alitaka kuturusha roho ila nadhani kama ulisoma vizuri ni marafiki zake ndo walio mfanyia hiyo kibao kata kwa lengo la kumuwish fare well on her trip back to stokholm sweden.
Mdau
Post a Comment