Poleni kwa msiba!niliona upendo mkubwa sana jana na pia nimejifunza kuishi na watu vizuri utajua siku ya msiba watu wako vipi?Familia ya Chuwa nyie ni watu wa watu!Msiba ulikua mkubwa huu ni mfano wa ajabu tumeona wakazi wa sweden!poleni na mungu awalinde Amen.
Kila siku nasema watu tutajifunza pale tupatwapo na matatizo ndio tutajua kama watu ni wabaya au wazuri?Familia ya Chuwa mlituweka pamoja jana na tumejua umuhimu wa kua na marafiki wa ukweli ni kitu gani? nawashukuru kwa umoja wenu!Poleni kwa msiba
RIP & Goodbye Monica Chuwa Hansson May you ever grow in our hearts. Now you belong to heaven and we will miss the wings of your compassion more than you'll ever know
Msiba huu ulikua na utaratibu mzuri sana!Nimejifunza mengi kuona ni namna gani hii family ilivyokua na ushirikiano mzuri na watu wa aina mbali mbali,Mungu azidi kuwatia nguvu daima!Poleni sana
21 comments:
Pumzika kwa amani Monica
Though we could not make it we were with you in prayers. May sis Monica's soul R.I.P. Poleni sana.
poleni sana.
R.I.P MONICA
Poleni sana familia ya Chuwa kwa msiba.. sijawahi kuona msiba mkubwa kama huu toka nimekuja hapa sweden,Mungu azidi kuwapa nguvu na upendo Amen!
Poleni kwa msiba!
Poleni kwa msiba!
Jamani Devota poleni sana!Unanitia uchungu kipenzi nikiona hizi picha mungu awatie nguvu.
Poleni sana!
Poleni kwa msiba!niliona upendo mkubwa sana jana na pia nimejifunza kuishi na watu vizuri utajua siku ya msiba watu wako vipi?Familia ya Chuwa nyie ni watu wa watu!Msiba ulikua mkubwa huu ni mfano wa ajabu tumeona wakazi wa sweden!poleni na mungu awalinde Amen.
Kila siku nasema watu tutajifunza pale tupatwapo na matatizo ndio tutajua kama watu ni wabaya au wazuri?Familia ya Chuwa mlituweka pamoja jana na tumejua umuhimu wa kua na marafiki wa ukweli ni kitu gani? nawashukuru kwa umoja wenu!Poleni kwa msiba
Poleni Chuwa family kwa msiba.
Pole sana Devota na Familia yako kwa msiba!Mungu awatangulieni mbele na nyuma.
poleni sana huu ndo msiba watu wote wanaonekana wamekuja kuomboleza.sio misiba mingine ku-show off none stop.
RIP monica
although sio mahala pake( au pengine muda wake) ila nimependa mlivotoka smart nguo yako nuru hiyo material sijui satin na pearls safi sana.
Mlimzika dada yenu vizuri sana!Kuanzia jeneza mapambo utaratibu na ratiba vyote vilikua super!Pumzika kwa amani Monica
Devota na familia yako poleni sana kwa msiba.Mungu atawaongoza kwa yote!Pumzika kwa amani Monica Hansson!
R.I.P Monica Mungu akupe maisha ya furaha mbinguni ni majonzi sana kwa kweli kuondokewa na mpendwa wenu pole Devota na familia yako.
RIP & Goodbye Monica Chuwa Hansson
May you ever grow in our hearts.
Now you belong to heaven and we will miss the wings of your compassion more than you'll ever know
Watu walijitolea kwa moyo wote!Poleni kwa msiba.
Msiba huu ulikua na utaratibu mzuri sana!Nimejifunza mengi kuona ni namna gani hii family ilivyokua na ushirikiano mzuri na watu wa aina mbali mbali,Mungu azidi kuwatia nguvu daima!Poleni sana
poleni sana kwa msiba. Marehemu astarehe kwa amani peponi. Amina.
Post a Comment