Dear Devota, May the comfort of God help you during this difficult time. I am thinking of you during this difficult time. May sis Monica's Soul Rest In Peace. Pole sana.
OMG!!! Jamani Aunt Monica!!! Wengi wetu tusingekuwa hapa tulipo bila wewe jamaniiii!!!! Poleni sana Devota, Vicky na wote!Mama yangu weeeeee!!! Am soooo sad, confuse & don't know what to do right now!!! God rest u in peace & am praying for you Aunt Monica... Esther Copenhagen.
yaani wewe mdau uloandika hapo juu umeniudhi sanaaa lakini wajinga hawakosanagi duniani..,kwani hapo hujaelewa nini wakati ni msiba.,.,mungu wangu
wengineo wote ahsanteni SANA kwa niaba ya devota na monica alikuwa ni malaika kwa sisi ambao tulipata bahati ya kumjua na kuwa nae.,.,REST IN PEACE AUNTY MONICA!
Wallahi waja kweli wazito. Huyo anon hapo juu ni KIBONGOTA!
Pole sana Devota, Bwana alitoa na sasa ametwaa, Jina lake lihimidiwe, muhimu ni maombi na subra kwenu, sote tu safari moja tunatofautiana wakati. Mungu amsamehe na amrehemu dada yetu. Amen
Devotha Pole sijui hata nisemeje ndugu yangu naona mdomo mzito naomba nikupe pole kwa kusema Mungu alimpenda zaidi tumuombee alale salama amina. Aliteseka vya kutosha Devota pray hard sweet heart kesha ukiomba mpenzi. Its me RT
11 comments:
Dear Devota, May the comfort of God help you during this difficult time. I am thinking of you during this difficult time. May sis Monica's Soul Rest In Peace. Pole sana.
Pole sana devotha mungu akupe nguvu na faraja kwenye kipindi hiki kigumu. RIP Monica
poleni wapendwa mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu.roho yake ikae kwa amani
OMG!!! Jamani Aunt Monica!!!
Wengi wetu tusingekuwa hapa tulipo bila wewe jamaniiii!!!!
Poleni sana Devota, Vicky na wote!Mama yangu weeeeee!!!
Am soooo sad, confuse & don't know what to do right now!!!
God rest u in peace & am praying for you Aunt Monica...
Esther Copenhagen.
Poleni wafiwa..kumbuka bwana ametoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe. Mwenyezi Mungu aipumzishe roho ya marehemu kwa amani..
RIP MONICA
BIG SISTER,ndio nini?si uandike kiswahili tukuelewe vizuri
yaani wewe mdau uloandika hapo juu umeniudhi sanaaa lakini wajinga hawakosanagi duniani..,kwani hapo hujaelewa nini wakati ni msiba.,.,mungu wangu
wengineo wote ahsanteni SANA kwa niaba ya devota na monica alikuwa ni malaika kwa sisi ambao tulipata bahati ya kumjua na kuwa nae.,.,REST IN PEACE AUNTY MONICA!
Wallahi waja kweli wazito. Huyo anon hapo juu ni KIBONGOTA!
Pole sana Devota, Bwana alitoa na sasa ametwaa, Jina lake lihimidiwe, muhimu ni maombi na subra kwenu, sote tu safari moja tunatofautiana wakati. Mungu amsamehe na amrehemu dada yetu. Amen
Jamani poleni sana kwa msiba familia ya Chuwa. May her soul rest in peace. Amen.

Post a Comment