KANGA,KITENGE AND BHATIK IS DEFINETLY IN FASHION.,FINALLY AFRICAN FASHION IS IN!!
3 comments:
ruky
said...
Tatizo madisigner wa kwetu copy&paste, wangekuwa wamejipanga vyema kwenye mambo ya Africa huu ndio ulikuwa wakati wao wa kuuzika. Wanigeria haooooo wanapaa
i get so upset and happy at the same time seeing these designs because our grandmothers wore these before we were even born...,african fashion needs the support not only from us felow africans but also outside but its gotta start with us knowing our own selfworth and that african fashion is truly an asset in the fashion industry...,but i think now that the west has finally accepted and are copying paste our stuff its time for our designers to organise themselves and really create collections that will appeal both africa and the west..,
Nuru ntadiffer kidogo na wewe sidhani kama westener wanacopy kutoka kwetu wanachotumia ni material tu halafu wanadesign vitu vyao vinavyouzika kwenye soko. of course wao wako mbali zaidi yetu lakini na sisi tusiwe waigaji wakupitiliza tuwe wabunifu. mimi sikuwahi kufikiria kama kitenge au kanga kinaweza kutengenezwa kitu kizuri kama hicho cha juu hapo!! kweli tunahitaji support basi tuonyeshe kujituma ili watokee watu wakutushika mkono.

Post a Comment