ITS THE SHORTS EDITION WITH NONE OTHER THAN THE LIGHT AT YOUR SERVICE!!
CUTEEEEEEEEEEEEEEEEEEY...,
8 comments:
Anonymous
said...
NURU NADHANI UNAPENDEZA ZAIDI BILA YA MAKE-UPS..au makeup unayotumia sio smooth kwa uso wako....kwani urembo wako ukiwa na makeup unafifia kabisa and u look not atractive....
umependeza nuru, kula raha vile roho inapenda wanosema watajibeba watu hatuko sawa, kuna blog inaruhusu kuhusu hizi picha zako kuzisema ni mahetars tu, kula life. wanataka wakuone na mzungu ndio wakusifie eti uko juu
Hao wanaokupigia kelele mtaa wa pili, hawana jipya bibi,, ""KELELE ZA CHURA HAZIMZUII TEMBO KUNYWA MAJI"" Ucwasikilize wanayosema,,, wana wivu tu. kIFUPI YOU ARE BEATIFUL, NA KILA CKU NASEMA YU HAVE A BEATIFUL BODY! Sasa anayekuchokonoa we mpotezee tu, jilie miraha, ishi maisha yako to the fullest. tupostie picha na matukio yanayojiri kila ukiamka- tutaburudika kama kawa,,mimi naamini wewe umelelewa na unajua maadili. So wapotezee haters wako, sio kila mtu atakupenda kikubwa mambo yako yanamove baby. I love that life of yuaz,,, very low profile hatujamuona mwanaume wako( sijui wengine, bt mimi cjamuona) kwenye mablog na nimeliheshimu hilo, ndo mana nikatanguliza kukwambia mtoto umelelewa wewe, na unajua maadili mema. Congrats.!
Una support yetu wachache bt tuko strong,, hao wanaorusha vijembe nao wanakupenda ila roho mbaya tu,, kama hawakupendi kwa nini wanaingia blogini kwako,, jiulize,,, SONGA MBELEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!! Alafu Jipanguse kifiesta RRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
8 comments:
NURU NADHANI UNAPENDEZA ZAIDI BILA YA MAKE-UPS..au makeup unayotumia sio smooth kwa uso wako....kwani urembo wako ukiwa na makeup unafifia kabisa and u look not atractive....
umependeza nuru, kula raha vile roho inapenda wanosema watajibeba watu hatuko sawa, kuna blog inaruhusu kuhusu hizi picha zako kuzisema ni mahetars tu, kula life.
wanataka wakuone na mzungu ndio wakusifie eti uko juu
naona vichupi vinaongelewa mtaa wa pili. bring it onnnnn . watajibeba
Hehehe looking good ila trying too much to show Kuwa ni natural. Inaelekea ujana wako you were never told enough times that you are beautiful.
jag älskar dig,holla me, jag bor i stockholm,but im scared
mtoto kula raha wewe!!!!
Waswahili wana msemo mmoja,
Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni:
Hao wanaokupigia kelele mtaa wa pili, hawana jipya bibi,, ""KELELE ZA CHURA HAZIMZUII TEMBO KUNYWA MAJI"" Ucwasikilize wanayosema,,, wana wivu tu. kIFUPI YOU ARE BEATIFUL, NA KILA CKU NASEMA YU HAVE A BEATIFUL BODY! Sasa anayekuchokonoa we mpotezee tu, jilie miraha, ishi maisha yako to the fullest. tupostie picha na matukio yanayojiri kila ukiamka- tutaburudika kama kawa,,mimi naamini wewe umelelewa na unajua maadili. So wapotezee haters wako, sio kila mtu atakupenda kikubwa mambo yako yanamove baby. I love that life of yuaz,,, very low profile hatujamuona mwanaume wako( sijui wengine, bt mimi cjamuona) kwenye mablog na nimeliheshimu hilo, ndo mana nikatanguliza kukwambia mtoto umelelewa wewe, na unajua maadili mema. Congrats.!
Una support yetu wachache bt tuko strong,, hao wanaorusha vijembe nao wanakupenda ila roho mbaya tu,, kama hawakupendi kwa nini wanaingia blogini kwako,, jiulize,,, SONGA MBELEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!! Alafu Jipanguse kifiesta RRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
Mpenda haki
Leo hali ya hewa nzuri, vaa chupi then upige picha tena...
Uwakate midomo tena !!! dawa ya waosha vinywa ni kuendeleza ngoma wakome!!
Julie
Huddinge.
we anony hapo juu...ujana wake tena??? kwani nuru saiv mzee??
Post a Comment