Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Wednesday, August 4, 2010

HAPPY BIRTHDAY MAMA!!!




AHSANTE SANA KWA KUTULEA SISI WATOTO WAKO WOTE NA KUTUFUNZA KUWA STRONG,CONFIDENT,NA MSIMAMO,KUTOKUWA NA WIVU NA CHUKI ILA KUPENDA WATU NA MAENDELEO YA WATU,KUSSUPORT JAMII,KUWA WAKARIMU,KUWA NA DINI NA IMANI,KUWA NA MAPENZI NA MTU YOYOTE NA MENGINE MENGI AMBAYO BADO UNAENDELEA KUTUONYESHA.I AM A STRONG BLACK AFRICAN WOMAN TODAY BECAUSE OF THIS WOMAN SASA MKIONGEA MSIONGEE I REALLY LEAVE THAT TO GOD MAANA MTU ASIYETAKA ELIMIKA AU ANA WIVU NA KAZI NNAYOIFANYA MIMI HAO HUWA WANATUPOTEZEA MDA TU MAANA THERE ARE MORE IMPORTANT THINGS IN LIFE SO DO YOU AND AM GONNA DO ME AND CONTINUE TO BE THE ONE AND ONLY NURU THE LIGHT!!!


14 comments:

Blackmannen said...

Dada yangu "Mama Nuru The Light". Bado unang'ra dada kama ulivyo siku zote. Tabasamu kama kawa. Hongera sana dadaangu katika siku yako hii kubwa ya kuzaliwa. Mwenyezi Mungu akujalie maisha marefu yenye mafanikio na furaha tele. Ndoto zako zote zitimie kama unavyoomba wewe iwe. Happy Birth Day kwako kutoka kwetu wooote.

It's Great To Be Black=Blackmannen

Anonymous said...

happy birthday mammy happy birthday to youuuuuuuuuuuuu
m mungu akupe furaha akupe afya njema akuepueshe na mitihani na mabalaa ya dunia akukuzie wanao wakupende wakupe mapenzi matam matam .m mungu awape kazi nzuri wakupe mabingo mengi mengi.

nurat anakisia mama ana turn 48- 52

Tabi said...

Happy B'day Mama Nuru!!enjoy u'r day and all the best!!

JIBEBE said...

WAAMBIE HAO MAANA KUTWA KUKUTAJA SIJUI ULIWAFANYA NINI

Anonymous said...

Happy Birthday mama Nuru
Nuru you loo so much like your mom! beautiful she is.
xoxo, coco

Unknown said...

I always call them
THE BEST WOMEN IN THIS WORLD!!

IF WE LEARN TO CREAT LOVE IN OUR HEART AND SILENTLY SHARE IT WITH EVERYONE WE MEET, LOVE WILL GRACE EVERY CORNER OF OUR LIVES!!
always my mama remind this to all of her kidds.

I dedicate this to mama Light mioyo ya mama zetu imejaa mapenzi ya kweli.

HAPPY BIRTHDAY MAMA,
HAPPY BIRTHDAY MAMA.
HAPPY BIRTHDAY MAMA.
LONG LIFE MAMA KWA MAPENZI NA BARAKA ZA MWENYEZI MUNGU.

Sab said...

HAPPY BIRTHDAY MAMA MUNGU AKUPE MAISHA MAREFU YENYE FURAHA.

Anonymous said...

happy b'day mama nuru, kweli memefanana sana. sasa msg imetuchanganya ni kumwish ur mumu happy bday au kupashana?

MARICHUI said...

KWELI MWAYA MPENDE MAMAYAKO

Miss C said...

Beautiful mother you have!!! ^^

Yusuph M said...

Happy birthday to you mama,May god be with you always.I wish you long live in your life,shukrani sana kwa kutuletea Nuru...Nuru the light.Nuru this is for you sis "Heshima Na upole ni baadhi ya vitu ulivyorithi toka kwa mama"

Anonymous said...

Hi mama hongera kwa kuongeza mwaka mwingine mungu akulinde!
Nuru unajina zuri sana nami nakutakia Nuru zaidi ktk maisha yako!!!!!!!samahani kama nitakukwaza mpenzi sina nia mbaya basi maneno ya walimwengu yaache usipende kurudishia fanya kama huyaoni na andika maneno ya upendo tuu kama watakuona mjinga lakini wewe unajua nini unafanya.Asante samahani kwa ujumbe mrefu.Nimara yangu ya kwanza kucomment.Ubarikiwe.

ni mimi R.

NURU THE LIGHT said...

BLACKAMANNEN ITS NICE TO SEE YOU HERE JAPO HATUJAJUANA LIVE AM HAPPY.,.,MAMA ALISHEREHEKEA SIKU YAKE VIZURI SANA NA ANAWASHKURU WOTE FOR YOUR BDAY WISHES..,AHSANTENI

Anonymous said...

Happy belated birthday dada Jesca!
that's how I knew and know you !

Mie ni mdogo wako na nitakutafuta thru email ya 'mwanetu' Nuru iliyo providiwa hapo juu.

Najua ukoo wetu wa 'Macharanga' ni mpana but nimefurahi kuona forum ya kuku wish happy birthday.

Nakumbuka sana upendo wako na mapenzi yako makubwa kwa nduguzo hata sie tuliokuwa vipuku tu enzi hizo wakati ukiwa pale mjini Daslam ( lolol, Dar Es Salaam, maana najua nyoka wameza maneno wa humu ndani hawatokawia kukosoa hata neno la ucheshi)karibu na TDFL.

Barikiwa na again, Happy belated birthday , keep the smile and good spirit.
KIPAPLI