Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Tuesday, August 10, 2010

FLAVIANA MATATA YOU MAKE ME SO PROUD TO BE AN AFRICAN,A TANZANIAN WOMAN!!UKO JUU!









Fashion models Naomi Preizler & Flaviana Matata and photographer Antonella Arismendi come together to create a magical editorial ‘Silver Heat’ published in 160g Magazine July/August 2010 issue. Styled by Vale Polnoroff the models enjoy an enchanting and solitary feeling in the light of a morning’s blurred skyline.






8 comments:

emu-three said...

The best way, is to show who u'a and not who are they!

Anonymous said...

kapendeza Flavy ila kanyonyo kanachungulia kaleeeeeeeeeeeeeee!!! cjui ndo fashion??

Kip it real bb!!

Anonymous said...

Picha nyingi kwenye ukumbi huu ni za kuvutia sana, na mimi kama mgeni hapa hufurahia kitu kimoja cha msingi. Self respect. Hizi za Flaviana naona ni picha za "kazini", sijui nini hasa wana-promote but that is not my buz. Naamini tu kuwa huyu binti ana nidhamu na sidhani chuchu kuonekana ni hoja, kwani hiyo promosheni labda ilitaka iwe hivyo. Flaviana, kumbuka kuwa wewe ni role model kwa wachichana wengi na hata kama ni kazi, usije kufanya kitu hapo baadae kikakukwaza maishani.

nx

NURU THE LIGHT said...

before i speak too much i just want to clear up something...,
why is it when a girl from tz does something u always want to make it a big issue..,how many celebs have posed naked and still u dont even critisize them but as soon you see our own tanznian whether is a man or female doing something then it becomes a subject or an issue..,
flaviana,millen,teddy kalonga and cynthia are doing something with their lives and instead of supporting them this is what we do best..,
kitu gani cha ajabu kuona nyonyo ya flaviana this is a fashion spread na yeye si wa kwanza wala wamwisho kuwa model na kuonyesha nyonyo this is nothing ppl..,i think am done for now solets learn to support!!!

Anonymous said...

Nuru, umesema mwenyewe, ni kwa sababu they "represent" Tanzanianians. Ni ndugu zetu na pia wamechipukia kwenye u-miss TZ kwa njia moja au nyingine. Watu wengi wanajua kuwa ni hapa wapo kazini na ulimwengu wa leo (remember sio kote pia) wanajiambia kuwa ni sawa, Uko London, NY au popote pale, tembea kifua wazi uone kama kweli watakuruhusu au sio kuwa utasota kisheria. Ndio hii ni kazi, tunachojaribu tu, nikuwakumbusha ndugu zetu kuwa angalau, nisije sikia, mtaani anaendekeza haya mambo ambayo kwingine labda yanakubarika.
Natumaini waBongo popote walipo tunafurahia kusikia mafanikio ya hawa ambassadors wetu, na kuwatakia mema hapo mbele ya maisha.

You know some natural progressions i.e. glamour modelling starts off simply as a this, a misplaced camera angle (so they say...) na hapo mtu anakuwa ameshapotea...

nx

NURU THE LIGHT said...

NIMEKUELEWA NX BUT SADLY IS THAT MOST PPL DONT GET IT THAT SHE IS AT WORK AND THAT IS A FASHION SPREAD FOR A MAGAZINE..,WAKIONA HIVYO WANAANZA TU KUFIKIRIA NI PICHA ZA PORNO..,
NIMEKUELEWA VIZURI SANA CHA MSINGI NI KUWAPA WATU WOTE A CHANCE TO SHOW US WHAT THEY ARE MADE OF AND WHAT WE CAN LEARN FROM THEIR ACHIEVEMENTS..,YES THEY ARE AMBBASSADORS BUT WHO ARE WE TO GIVE THEM SUCH A BIG JOB TO HOLD UP TZ JUST BCOZ THEY ARE TANZANIAN!ONE THING WE HAVE TO REMEMBER IS THAT AT THE END OF THE DAY WE ARE ALL HUMANS..,AHSANTE

Anitha said...

I will have to go with Anon 3. these girls are Tanzanians and thats why its an issue and we get all Judgemental, they are not just some random ditzy head, crack head celebrities we dont give a crap about but love to read about in the gossip columns...they do have a bigger responsibilities in being role models and upholding the Tanzanian values misguided as they are at times. they are plenty of stars who have gotten far without showing as much as a nipple on a movie or magazine spread and some who have gotten far with it, I guess what am trying to say is, its more important to be an individual than just another skinny nude chick but then again if she wants to work in modelling the body is the hanger she has to or no work = no bread.

Anonymous said...

mnatuchosha tu na your nagging and whining ways.
wao ni ambassadors kama models.

Walio mabalozi wa kisiasa watavaa masuti labda na mabendera sijui hadi yanaburuza ili kuonesha sijui hiyo mnaita adabu.

Mtu ni model, mnataka awaletee sifa, but mnataka mumdress kama mpendavyo.

we uliona fundi makanika amevaa kimini?
au nesi kavaa kofia ya chuma?

Kila jambo na wakati wake. na hata kama ni watanzania tusiwatwike majukumu ya kutubebea ujinga wetu woooote ambao tumeshindwa kujikung'uta tangu tuzaliwe then leo tutegemee hawa eti watubebee sijui nini.

After all, hata hao wa magazeti wanajua kikomo (limits) kama kitu ni cha fashion.
Kelele tuuu na lawama , hamna jema.
haya leteni nyie picha zenu mlizovaa mashuka na sidiria za bati ili kuficha nyonyo!
kah!

KIPAPLI