Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Friday, July 30, 2010

FULL KUJIACHIAAAAAAAAAAAAA!!!!HOLIDAYYYYYYYYYY!!13 comments:

Anonymous said...

una beautiful body,,,,,,, sexyy ile mbaya. Ilove dat body. Ushapata mchumba

Sheria Ngowi. said...

luking hot...the light...

Anonymous said...

Beautiful, BUT... kitumbo hicho bibi!! mambo tayari nini? kama hakuna kiumbe hapo hit the gym mamaa, ni noma, sijui ulikula kaugali kwanza? honestly figure bomba ni katumbo hako.

Anonymous said...

umependeza sana na hongera kwa kuuangalia vizuri mwili wako, ila angalia kuna magazeti hapa ni washenzi hukawii kuzuliwa umepiga picha za utupu, while u had good intentions!

Anonymous said...

Saaaafi nije kuku massage?

Anonymous said...

mhmn mtaamuu

Marichui said...

heheheheheh jamani Mnatuuwa wenzenu wenye manyamanyama mhhh

Anonymous said...

Uku ni bongo kuzuri hivyo au ni sweden? umependeza sana the ligtht...
likizo iko poa sana ni wapi jamani nami nije kutembea na mtoto wangu?

Bernad:)

Akupendaye said...

Mashallah..mtoto umeumbika.

Anonymous said...

huyo anony aloandika katumbo hivi una macho mazuri au tukupe miwani..,hilo nalo tumbo la kuht the gym au hujaona wenye matumbo.,.,dada kula kwa raha yako!

NURU the light said...

ahsanteni wote jameni na sheria my bro thank u love..,

Anonymous said...

jag äskal dig, holla me, jag bor i stockholm

Anonymous said...

Jamani dada Nuru nimekuomba uniambie wapi hiyo sehemu ya swimming pool umenibania kunipa jibu. Naelewa nakusumbua na huna muda wa kujibu anyway vocation njema.