Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Monday, July 12, 2010

COUPLE OF THE DAY!!!

AMINA CHIFUPA WITH HER HUSBAND!!MUNGU AWALAZE PEMA!

16 comments:

Anonymous said...

Nuru,
Why did you think the late couple should be couple of the day?
Kwani walio hai hizi sifa hawawezi kupewa? Enzi za uhai wao sikuona hata siku moja wakitajwa kuwa ni best couple, infact, wanaojua zaidi kuhusu hii ndoa watashangaa sana conclusion yako.
Wewe sema tu, ungependa tuwakumbuke, lakini "of the day.." please.....

Anonymous said...

Ukimwi unaua wanawake mjichunge....

Anonymous said...

Yaa!!!! ni couple niliyoipenda sana jamani we acha tu. Mungu azidi kuwapa mapumziko mema.

Disminder orig baby said...

kweli kazi ya Mungu haina makosa,
Awape pumziko, walivutia sana jamii.

NURU THE LIGHT said...

enzi za uhai wao i didnt even have a blog kasome historia ya blogi hii my god..,kawaandikie magazeti ambayo hayajawahi kuwaandika wakati wako hai mimi i wanted to give them a special segment today as a couple of the day so deal with it..,

NURU THE LIGHT said...

news flash anony ukimwi unauwa mtu yoyoyte hapa duniani so binadamu wote tunatakiwa kujichunga na sio wanawake tuuu..,

Anonymous said...

na wewe nuru unawajibu watu kwa asila slow down madaaam .

Anonymous said...

wewe nuru this is inappropriate! u cnt say couple of the day and they r deceased ungesema Couple of them days..Mungu awalaze pema etc wote tuliwapenda sio wewe peke akop but this is inappropriate if u understand english u will understand what im talking about.

Anonymous said...

Nuru, Sorry kama nime-touch pabaya. Ndio, UKIMWI unaua, na wote tujaribu kujichunga. Maybe, best title for this piece should have been more a remembrance call with the emphasis kuwa hawa ndugu zetu wametutoka kwa sababu ya ukimwi, desturi zetu tunavyoishi inachangia kuwepo na hili janga, (three official wives for the husband: and who knows if any concubines were around, Amina je?)
Again, wouldn't want the wrath of the dead to follow me, just an informed guess of how AIDS managed to snatch this couple...

Wote tuombe mungu, tuwe waaminifu, ndio mitego ipo tu, na hii miili yetu kweli inapenda (dedicated to my sistas)...tu lakini tujue tu AIDS na STI's zingine zipo.

Nuru, I a keen reader of your site so please don't feel offended by my comment.

NURU THE LIGHT said...

mbona nikimuweka michael jackson hamsemi its not appropiate kwani michael hajafa!!! jamani hawa watu nimependa kuwaweka leo na siku nyingine if i want to post them again i will..,
kaka i really like the way you wrote to me and this is how we educate people na jamii yetu.,.,ahsante sana kwa maneno yako nafkiri yoyote atakayosoma atakuwa kapata msg vizuri sana..,AHSANTE!

Anonymous said...

WAACHENI WAFU WAPUMZIKE KWA AMANI,HAINA HAJA KUJADILI KUWA WALIKUFA KWA NINI AU NINI!!!!!!
AMINA ALIPOKUWA HAI ALIKUWA ANAPONDWA KILA MAHALI ALIPOKUFA ALIMWAGIWA SIFA KEDEKEDE.
MAANDIKO YANASEMA MSIWANENEE WAFU MABAYA YAO.
R.I.P AMINA N MEDY

Anonymous said...

wewe nuru unamuweka michael jackson ila hujamuweka na mkewe ukaseam couple of the day km huyo mke alikuwa naye! hatukatai kumuweka marehemu but kusema couple of the day ndio umeharibu! that is an ALIVE sentence for someone deceased it is inaapropriate!

Anonymous said...

Nuru na wote wanaoifuatilia hii topic.

Ahsante kwa kuupokea ujumbe wangu vizuri hapo juu. Nimeipata hii article ambayo inatufunza zaidi kuhusu repercussions ya huu ugonjwa, familia inayobaki, wanapata matatizo. Hii inawahusu familia ya Mpakanjia na Amina.

http://www.globalpublishers.info/xn/detail/5398006:BlogPost:52241

Again, wote tuungane kuelimisha jamii...

Topic ndio imebadilika, sio kuhusu title ya article, lakini nini cha kukumbuka na kujifunza.
KK

Anonymous said...

Haina haja ya kusema kuwa wamekufa kwa ukimwi mbona watu mko hivi? Kifo ni kifo...hata kama wamekufa kwa AIDS wao si wakwanza. Tusipende kuonyeshana vidole kwani ni janga la wote. Kila familia imeguswa kwa njia moja au nyingine..
Mijitu mingine bwana.

Anonymous said...

JAMANI KAMA WALIKUA MKE NA MUME WATAENDELEA KUITWA MKE NA MUME HATA HUKO WALIKO!MBONA WATU MNATAKA KUCOMPLICATE MAMBO!N IT SEEMS WEWE ANON HUJUI HATA NDOA NI NINI NA COUPLE NI NINI SO PLS ACHA KUWA NEGATIVE!THEY WERE COUPLE THEY ARE COUPLE AND THEY WILL BE COUPLE AND EVN FOR THE DAY "THEY ARE COUPLE OF THE DAY"NURU ACHANA NA HAWA WAJINGA.AND AS FOR YOU WHOS SAID UKIMWI BLAH BLAH!WHO ARE YOU TO JUDGE?WEWE UNAJIJUA?NA UNA UHAKIKA GANI NDIO KILICHOWAUA.KAMA UNA UHAKIA THEN ITS GOOD TO SHARE NA INGEPENDEZA BADALA YA KUFICHANA BUT KAMA HUNA UHAKIKA PLS DONT SAY ANYTHING!MAY THEIR SOUL REST IN ETERNAL PEACE!NA KWA WALE MLIOKUWA KARIBU NAO TAKE CARE OF THEIR SON PLS.NO WAZAZI AT SUCH AGE IS PAINFUL.

NURU THE LIGHT said...

anon wa mwisho well said and ameena mungu amlinde huyu malaika milele na milele.,.,