Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Friday, June 4, 2010

THE SPORAH SHOW HAS FINALLY OPENED THEIR OWN BLOG BY THE NAME OF WWW.THESPORAHSHOW.BLOGSPOT.COM,WHERE YOU CAN SEE HOW EVERYTHING BEHIND THE SCENES!


WOMEN BEHIND THE CAMERA...,AM LOVING IT AND YES WE CANNNNNNNNNNNNN..,








THE STAFF AND CREW...............MKO JUUUUUUUUUUUUUUUUU!!!!




7 comments:

Sporah TV said...

Karibu Bongo Dada Sporah

Agness said...

Jamani Dada Sporah Hicho kiatu, Umependeza bwana mi nakukubali Sporah.
Taratatataaaaaa
AM LOVING IT.

Angel said...

Sporah jamani sasaivi nimewasha tu TV nimekutana na advet yako kwenye Star Tv, ninzuri sana.
Mi mates wako tulisoma wote Kampala.Mtoto we naviatu.. Mh
Naona Ujaacha tu mambo yako ya Viatu, I can Imagine huko london.
Mwaya Hongera zako na tunakusapot sana.

Anonymous said...

The Shoes, The shoes, The shoes, The shoes Spora.
Nimeipenda hiyo, umependeza sana dear. Keep it up.

Anonymous said...

Napenda hiyo, Mwanamke behind the Camera.. Sporah hiyo safi sana hapo ndio unawavutia wanawake wengi kujiamini kama hakuna kazi ya mwanaume wala mwanamke anawake wanaweza kufanya chochote.
Sporah your good inspiration nakubaliana na NURU THE LIGHT UKO JUUU SISTER.

Anonymous said...

Nuru na wewe mama Uko Juu.
Napenda sana juhudi za huyu mrembo.
Wachaga bwana, Hongera dada Spola.

NURU THE LIGHT said...

AHSANTE MDAU NASHURU...,
WACHAGA NA KABILA ZOTE ZIKO JUUUU..,SHUKRAN