yuko poa mi namkubali,hana tabia ya mashauzi hata anapohojiwa na vyombo vya habari,yaani she z natural. CHADEMA wampe hata viti maalum akawakilishe wasanii wenzie bungeni. juzijuzi alifungua blog ila naona hii siyo fani yake kwani hakuna updates zozote. NAKAAYA DADA KOMAA NA SANAA AFU NAONA SIASA NAYO INAKUKUBALI. KAZA BUTI. PER MO JAH
1 comment:

Post a Comment