TEDDY KALONGA HEIGHT FOR FOLLOWING YOUR DREAMS NA SUPPORTING ME IN THE MOVEMENT OF BLACK AFRICAN STRONG WOMEN WHO WANTS A CHANGE!!!
SHAMIM MWASHA A.K.A MAMA IQRA..,SHUKRAN KWA KUNIPA MOYO KWENYE LIBENEKE NILIPOANZA NA KUNIONYESHA UPENDO TULIPOONANA TANZANIA..,
MY GIRLSSSSSSSSSSSSSS LA BELLA MAFFIA CREWWWWWWWWWWW!!!JACKIE MAFURU SIJAKUSAHAUUUUU,SYLVIA,AWADH,THT,RUGE,LADY JAYDEE,MARLAW,DJ CHOKA,HAKI NGOWI,CATHBERT ANGELO,MAMA FK NA KAMA MTU NIMEMSAHAU UTANSAMEHE..., WADAU KAMA DISMINDER THE REAL ONE,CANDY,YASINTA NDIO WATU WA KWANZA WALIOANZA KUCOMMENT KWENYE BLOGU HII.,IV BEEN BLOGGING FOR A YEAR NOW AND THROUGH BLOGGING IV GOTTEN TO KNOW SO MANY PEOPLE BOTH FAMOUS AND NONE FAMOUS AND I CAN SAY THAT BLOGGING CAN BE USED IN SO MANY WAYS.,I WANTED TO EDUCATE PEOPLE MY PEOPLE ABOUT THINGS I KNOW AND EMPOWER WOMEN WHO ARE MAKING A CHANGE OR ASPIRING AND FOLLOWING THEIR GOALS.KUNA WATU HAWATOBADILIKA MAISHA YAO YOTE NA HIYO HAINIPI MIMI KICHWA ILA INASIKITISHA LAKINI NASHKURU MUNGU KWAMBA NIMEWEZA KUELIMISHA WENGI HAPA NA I PERSONALLY WANT TO THANK EVERYBODY WHO LOVES WHAT I DO AND VISITS NURU THE LIGHT EVERYDAY NA KUNIKUBALI KWA MOYO WOTE!!!HAKUNA MTU ANAYEPENDWA NA ULIMWENGU MZIMA SO KUWA NA HATERS NI KITU CHA KAWAIDA TUU DUNIA YA LEO JUST DO YOU AND BE PROUD!!!
12 comments:
We thank you too mamiy! Your personality is what people really love and just continue being yourself, whoever hates it, its their problem, just know that there are people who support ya bbs! x
Thx Nuru endeleza libeneke kila la kheri na Happy birthday my girl be blessed alwayz
Asante mtoto asante baby girl, Mashallah disminder original mwenyewe wa ukweli. yule fake akerekae atajaza na atavimba mpaka apasuke mi mwenzake yangu yananiendea, sikujua kama ni mdau muhimu KUBLOGUA HAPA. hahahaahahah kumbe ndicho kimkeracho huyo hater wangu. hahaha kwikwikwikwikwi vipi ningekuwa super**** sijui angekuwa vipi huko aliko.
hahahaaahahah mtoto Nuru, ongeza
MAROGOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
WATASHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
ATAISOMA TU JAPO KIMYA KIMYA.
Your birthday is the perfect time to count yo blessings May you have lots of them..Wishing you a very Happy Birthday!!
mnaoleta mambo ya uswahili humu ndomnamuaribia nuru sasa,nuru hanaga mambo yauswahili acheni ujinga wanawake,kuweni na ustaarabu.kama mmezoea mablog yenu yamipasho hukohuko sio ya nuru mshambiwa nuru the light sasa mnataka kuweka giza wanga tuu,happy birthday dear nuru be blessed ma dear.keep it up beib.mdau sweden.
AHSANTENI SANA AND I WILL ONTINUE TO BE ME ALWAYS..,DISMINDER,MISS REMMAN,SAB,ANONY AHSANTENI NWASHKURU
MTU AIYETAKA KUELIMIKA NA KUBADILIKA HATA UMPELEKE DUNIA ANI HATOELIMIKA NA KUSTAARABIKA SO HAO TUNAMUACHIA MUNGU AWASAIDIE MAANA WE CAN ONLY DO SO MUCH.,.,AT THE END OF THE DAY EVERYBODY MAKES THEIR OWN CHOICES IN LIFE.,.,
Why You keep calling teddy kalonga height?? Its haight jamani!!
ngoja nikupeni siri nyie watu wengine wanaandika comments za mauthi ili kuwapa challenge tu wala hawana shida yeyote na nyie kwanza hata hawawajui hivyo acheni kujishaua shaua...loohh
mtajibeba hao wanaotaka kumpa challenge nuru mmetumwa au mnalipwa maana si hasha na ww mmoja wao..,shida wanayo na ndo mana wanatukana..,hii inaonyesha kabisa kwamba mna lenu na hilo jina utajibeba jibebe mwenyewe kwanza kabla ya kuparamia wengine..,the light challenge tayari unayo ya kuongeza libeneke hili nashangaaaaaa maana kama ingekuwa kitu rahisi angefanya yeye..,
Nakuona na wakali wenzako hapo mnakula raha nyie wadada simchezo!
Nakuona na wakali wenzako hapo mnakula raha nyie wadada simchezo!
Thx Nuru..Ur Alwayz Welcome....1LV
Post a Comment