Hi Nuru, kwa kutuweka up to date na ma fashion ya ukweli, unaonaje ukianza kuweka na za ma designer wetu wa bongo mara kwa mara ili na wao wapate kuonekana na wapate soko labda uko ulaya, najua unawekaga mara chache lakni labda uongeze frequency, blog yako kubwa utakua umewasaidia sana fashion designers wetu pia ukifanya hivo.. kama wakipiga picha nguo zao wakakutumia. just a thought katika kuendeleza gurudum la maendeleo. siku njema
AHSANTE MDAU NI IDEA NZURI NA HUWA NAWEKA MARA KWA MARA ILA NTAZIDISHA MAANA KUWAPA PROMO MADESIGNER WA NYUMBANI NI KITU MUHIM SANAAAAA NA MODELS ILI INDUSTRY IZIDI JULIKANA NA KWELI HATA MTU WA ULAYA AKIONA APATE ONA MAENDELEO YETU..,AHSANTE

3 comments:
Hi Nuru,
kwa kutuweka up to date na ma fashion ya ukweli, unaonaje ukianza kuweka na za ma designer wetu wa bongo mara kwa mara ili na wao wapate kuonekana na wapate soko labda uko ulaya, najua unawekaga mara chache lakni labda uongeze frequency, blog yako kubwa utakua umewasaidia sana fashion designers wetu pia ukifanya hivo..
kama wakipiga picha nguo zao wakakutumia.
just a thought katika kuendeleza gurudum la maendeleo.
siku njema

Post a Comment