Napenda mashati yako kama hilo ulilovaa au hata moja refu la draft (nyeupe na nyeusi)ntayapataje kama yapo kwa bei nzuri njulisha basi dear nayapenda sana kwani yanafunika kitako na bado mtu unaonekana smart, kama yapo mpenzi njulishe eeh kisha ntaangalia namna ya kukupa contact zangu. Love u
the white n black one mdau that one i bought it from H&M AND THIS CHUICHUI ONE I BOUGHT IT FROM ZARA..,THEY R VERY COMFORTABLE AND CHIC AT THE SAME TIME..,just email me and see what we can do..,thanks mdau..,
7 comments:
Looking fab hun. Have a nice weekend. xoxoxo
looking pretty ladies!! Nuru nadhani najua kwanini unapata shida kuface kamera unavaa miwani??? right!! va lens inasaidia (mie)
thanks tina n u tooo..
ano wa pili ahsante sana for the tip love...,
Nimependa bangle lako la kijani:) umenunua wapi? looking fabulous...
Kila kitu fresh kabisa tatizo pozi Nuru hutizami Camera au una tatizo la macho. Looking good

Post a Comment