wewe candy ndio wadaku wenyewe..ulidhani maadui sas ainakusaidia nini?ndio haya mambo mnasoma mastory kwenye blogs mnaanza kubwabwaja sasa wewe hata kama wao maadui inakusaidiaje wewe?au inakuhusu nini?msonyo kabisa!watu wa dar wanaongea hata wewe unaongea vile vile coz kutokana na hiyo statement u r one of them!
nuru, mimi nakupenda sana na ninaipenda sana blog yako. sijawahi kucomment humu, leo ni mara yangu ya kwanza. naomba niungane na Candy hapo juu. waweza kutujibu, mamito? ni kweli, hata mimi nilidhani nyinyi ni maadui..(hope umetuelewa?). tafadhali tujuze. nauliza kwa nia njema tu, kama fan wako na si vinginevyo. ahsante na barikiwa, mama.
nuru, acha kuwa na jazba! ukisema tumeshikilia mambo yasiyotuhusu, unakuwa unakosea. wewe tujibu kistaarabu tu. kama hujisikii kutujibu, sema "sijisikii au siwajibiki kuwajibu". ukisema hayatuhusu unakuwa unakosea. Hii blog inakuwa nzuri kwa uzuri ilionao kwa sababu ya fans wako ambao ndio hao tunaokuuliza baadhi ya mambo tukikuomba maelezo. bila mashabiki wako sidhani kama utakuwa hivyo ulivyo. ustaarabu kidogo basi, mamito. love kwa sana.
8 comments:
To be honest I love u gurl, but kunawatu wanakuchafu, its better kuepukana nao kabisa....
Keep it up luv xoxoxoxo!!!!!!!!!!!!!!!
du mimi nilidhani nyie maadui kumbe marafiki loo watu wa Dar wanaongea jamani mwe!
I like your shape Mamaa
wewe candy ndio wadaku wenyewe..ulidhani maadui sas ainakusaidia nini?ndio haya mambo mnasoma mastory kwenye blogs mnaanza kubwabwaja sasa wewe hata kama wao maadui inakusaidiaje wewe?au inakuhusu nini?msonyo kabisa!watu wa dar wanaongea hata wewe unaongea vile vile coz kutokana na hiyo statement u r one of them!
nuru,
mimi nakupenda sana na ninaipenda sana blog yako.
sijawahi kucomment humu, leo ni mara yangu ya kwanza.
naomba niungane na Candy hapo juu.
waweza kutujibu, mamito?
ni kweli, hata mimi nilidhani nyinyi ni maadui..(hope umetuelewa?). tafadhali tujuze. nauliza kwa nia njema tu, kama fan wako na si vinginevyo.
ahsante na barikiwa, mama.
Uneibania comment yangu wewe dada...mbona umeweka picha M baaday ya diva kupatana naye??? nini ilikuwa shida???
anony shida ilikuwa wewe mfuatiliaji mambo yasiyonihusu mimi...,mbona mmeshikilia sana vitu visivyowahusu aiseeee...,get a life
nuru,
acha kuwa na jazba! ukisema tumeshikilia mambo yasiyotuhusu, unakuwa unakosea. wewe tujibu kistaarabu tu. kama hujisikii kutujibu, sema "sijisikii au siwajibiki kuwajibu". ukisema hayatuhusu unakuwa unakosea. Hii blog inakuwa nzuri kwa uzuri ilionao kwa sababu ya fans wako ambao ndio hao tunaokuuliza baadhi ya mambo tukikuomba maelezo. bila mashabiki wako sidhani kama utakuwa hivyo ulivyo. ustaarabu kidogo basi, mamito.
love kwa sana.
Post a Comment