Jamani nampenda uyu dada mpaka basi ngozi yake nyororo kama mtoto mdogo.Nuru naomba nitoe ombi langu my dear naomba tupe picha za harusi ya Devota Diva jamani au kama ana blog uniambie niangalie mana aujatumalizia utamu ulitupa tu Kpart.kama inawezekana lakini thx in advance.
5 comments:

mwah mwah mwah, mwakwetu umetoka mchicha, ongeza marogo mtoto, mambo mazuri
sab usijali zinakuja dada yangu...ngozi ya tk ni nzuri si unakumbuka aliweka kwenye blog yake products anazotumia na ni nzuri jaribu u never know..,
Mimi pia ninahamu kweli ya kuziona picha za d za harusi nina hamu ya kumuona mamaangu jirani yangu mama Feruzi she is so lovely, mic her
Jamani TK ni mzuri sana!kweli mdau juu ameni kumbusha tunaomba utu wekee picha za
Devota
Mdau wako wa siku zoteeeeeeeeeeee
Post a Comment