hata mie zamani nilikuwa naogopa sana kupaka a red lipstick but a good friend of mine akaniambia nuru leo paka lipstick nyekundu yaani nikabadilika hadi nikajishangaa bcoz b4 nilikuwa sipaki lipstick kabisaa..there are different shades of red so try the one that works for u usikate moyo bila kujaribu...,
7 comments:
hellow mamii,nimepata zile headband now zinapatikana kwa shamim(zeze)those shop ulizonidirect nilimic..tanx alot.ur such a kind girl.
am so happy it worked out fo ya....nasubiri pic umeitinga kwa hamu...otherwise ningekufanyia order from here...,ur welcum
hey, even me will get mine today Inshallah. Thanks Nuru and will send you a pic.
Red lips zinavuta.
tanx,nitakutumia pic ila cjui nitaituma vp?help me..
email me tu...,
inapendeza kweli but beware(lol) its definately not for errybody...wengine tutawaachia mnaopendeza tu..

Post a Comment