Nuru kuna picha unarudia sana yani kwa mfano ulishatoa mtu kavaa nguo hiyo hiyo then unairudia zaidi ya mara mbili inamchosha muangaliaji atleast kama umeleta kitu kipya yani look mpya, ni ushauri tu ukipenda fanyia kazi usipopenda upoteze
ahsante kwa kunishtua maana sometimes nnakuwa nasema hivi hii nimeitowa au hahahhah hamna neno nakuelewa maana hata anayetolewa lazima awe anatoka tofauti na mie nimuonyeshe kitofauti au sio..ahsante mdau
bora umeelewa Nuru maana picha zingine zinajirudia duuuu hadi basi tunashidwa elewa hao watu wanataka kujitoa kila mara hivyohivyo au? vitu vipya vinanoga zaidi just ideas tu
vitu vipya vinanoga ila kama kitu narudia sio kwamba hao wanataka kuwekwa kila saa kumbuka mimi ndo nnamua wakumrusha so its me to blame n no one else sasa tuendelee na mengine..,
4 comments:

Post a Comment