Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Saturday, April 10, 2010

KUNA MDAU KANIULIZA NURU NIMEONA YOUTUBE MTU KAANDIKA UNAUZA SURA JE MAANA YAKE NI NINI..,WELL GO TO YOUTUBE AND WRITE QUICK RACKA AND YOU WILL KNOW!

KUUZA SURA NI SLANG LAKINI HAIMAANISHI KITU KIBAYA....,MTU AMABYE HODARI ZAIDI WA KUEXPLAIN NAOMBA TUMFAFANULIE KAKA AU DADA ZAIDI..,HAVE A GREAT WEEKEND...,

6 comments:

Anonymous said...

Thanks for give me Info...nilidhani kuuza sura unatafuta wanaume wabongo tuanze tuma maoni yetu.
Je ukicheza kwenye video kama hiyo unalipwa au unawafanyia favour? Pls nijulishe nami niko na dada yangu anapenda kudance yuko hodari infront of kamera...

Faith S Hilary said...

inategemea na mtu anasema kivipi kwasababu anaweza akawa anatoa "kejeli" au akawa ana "compliment" ile "appearance" yako sehemu fulani..kwahiyo wengine ndio mtu ukionekana sehemu anaweza kusema "full kuuza sura...ovyo!" (lol) so hapo anakejeli. Mwingine anauza sura "kiakili" kama ulivyosema hapo awali ambapo inakuwa kama ana "represent" so inakuwa kuuza sura in a good way...ndivyo ninavyoelewa mimi anyway so it can either be a good thing or a bad thing, mwenye explanation nyingine atuambie :-)

NURU THE LIGHT said...

anony nilijua tu umechukulia hivyo lakini i think candy kaifafanua vizuri sana..,kuna watu wanapenda kuuza sura bila kujua au kutegemea any results from it...,
na kuna watu wanauza sura kiakili...,
kama dada yako anapenda i suggest apeleke picha nzuri either kwa model agency au video directors maana wao wanajua msanii gani wanashoot na demu gani anafaa..,good luck to her and she should always ask if they are going to pay her na kama hawamlipi a make sure she gets atleast wardrobe,transport kwenda kurudi from the shoot, and ajue je hii video itampa promo kwa wingi ili aweze pata kazi nyengine zitazoweza kumlipa coz then she can demand her terms..,
MIMI KAMA MSANII INATEGEMEA WE USUALLY ASK..KAMA VIDEO ZOTE NILIZOKUWA FEATURED ON THE ARTISTS ASKED ME TO APPEAR IN THEIR VIDEOS KASORO FOR THE BULLET ONE THAT ONE I GOT PAID BIG TYM BECAUSE I WAS CONTACTED BY THE MANAGER OF HIM AND I NAMED MY PRICE...,BUT MOSTLY FOR THE CHEGE,AY,MWANA F.A,MO RACKA WALINIOMBA WENYEWE NA MIMI NIKAKUBALI COZ WAO LEO NA MIE KESHO...,

Anonymous said...

Asante dada yangu Godbless you sana tena sana nitafanya hivyo.

Unknown said...

we mkali Nuru, na siku zote uko kwa ajili ya maendeleo. keep it up.

NURU THE LIGHT said...

ahsante sana bazizane..pamojah