mara fiki wa ukweli ni wale wasimao na wewe kwa lolote lile watakulinda, watakutetea, watakupa bega la faraja, watakushika mkono ukidondoka wakati wakikuambia utaweza kutembea kaza moyo endelea na safari , watakuwa na wewe maadui wakikupaka matope kwa hili nimegundua devota ana marafiki wazuri washike usiwaache jamani urafiki wa jackie mafuru, sarah raqey, munira nasser siwajui ila moyo wangu wasema ni watu wazuri mungu awalinde, devota sebuyoya ni mwanamke jasiri mungu akulinde na akusimamie kwa mipango yako yote iwe ya furaha usichoke kaza mwendo,ruru mama all the best chagua rafiki mwema sio kigegeu na wa mashaka alae huku na kule , all the best wish i could see you and give you my hug how nakuadmire ila mama mungu akulinde its ade
sahamani its me ade ila was meaning kusema nuru nikaishia kusema ruru , thanks dear everyday some celebrities talk they wish they could have true friends , sio marafiki wawapatao just sababu ya hela zao wanataka marafiki wa kweli, endelea kuwa na moyo huo huo ndugu yangu maisha ni mafupi maugomvu yasiyo na msingi unasababisha stress na magonjwa ya moyo, mungu akulinde ade
7 comments:
hi dear nuru jamani mwambie devota alipendeza from engagement hadi harusi yaani imependeza kwelikweli big up sana kwake na kwako
mara fiki wa ukweli ni wale wasimao na wewe kwa lolote lile watakulinda, watakutetea, watakupa bega la faraja, watakushika mkono ukidondoka wakati wakikuambia utaweza kutembea kaza moyo endelea na safari , watakuwa na wewe maadui wakikupaka matope kwa hili nimegundua devota ana marafiki wazuri washike usiwaache jamani urafiki wa jackie mafuru, sarah raqey, munira nasser siwajui ila moyo wangu wasema ni watu wazuri mungu awalinde, devota sebuyoya ni mwanamke jasiri mungu akulinde na akusimamie kwa mipango yako yote iwe ya furaha usichoke kaza mwendo,ruru mama all the best chagua rafiki mwema sio kigegeu na wa mashaka alae huku na kule , all the best wish i could see you and give you my hug how nakuadmire ila mama mungu akulinde
its ade
Thanks Nuru for the picture the all thing was classic.happieeee people
anony uloandika khusu marafiki wa ukweli umeandika vizuri sana yaani maneno ako yamenitouch sana..ahsante...
sahamani its me ade ila was meaning kusema nuru nikaishia kusema ruru , thanks dear everyday some celebrities talk they wish they could have true friends , sio marafiki wawapatao just sababu ya hela zao wanataka marafiki wa kweli, endelea kuwa na moyo huo huo ndugu yangu maisha ni mafupi maugomvu yasiyo na msingi unasababisha stress na magonjwa ya moyo, mungu akulinde
ade
HAHAH I KNOW MA TYPE ERROR HAYA...,ITS OK N WHAT U SAY IS SO TRUE ADE...ALL THE BEST
watu wamependeza mnooooo..
Post a Comment