My dear Devota wewe ni mzuri na umepata bwana wa kizungu mzuri na msafi.Hongera sana na ubaki na upendo wako kwa marafiki zako mbarikiwe wote nyie ni warembo sana.
WAZAZI WA BI HARUSI NILIANDIKA KABISA KUWA BABA YAKE DEVOTA ALIFARIKI MIEZI TU KABLA YA HARUSI NA MAMA PICHA NIMEMUWEKA SO RUDI KWENYE WEDDING PICS NA MAMA YAKE HUWEZI KOSA KUMUONA..,
Msema ukweli mpenzi wa mungu,Devota na boyfriend wako mko juuu sana!Nakubali mdau wa hapo juu ulivyosema kua huyu mzungu ni mzuri na msafi mpaka analeta raha.Keep it up sister
Napenda unavyojiwekaga Devota na uzuri wako unazidi kila kukicha mungu akuzidishie wewe na mpenzi wako wanafiki wajinyonge! Dada umejaliwa sana wewe!!!
shida yako nini utaka kujua mambo ya watu wakati harusi ilishaisha, kalalege bao. sasa kama wazazi wa bwana hawakuwepo inakuhusu nini? watu wengine bwana, midomo tu
9 comments:
nuru mambo!!
mbona wazazi wa bibi harusi hatujawaona? walikua na dharura nini.
Devota umependeza sana mpenzi, jamani na umepeta Boyfriend mzuri kama kawaida yako hukoseagi wewe!Mko juu wapenzi kwa ujumla.
Wow!u are so beautiful Devota god bless u and ur new man
My dear Devota wewe ni mzuri na umepata bwana wa kizungu mzuri na msafi.Hongera sana na ubaki na upendo wako kwa marafiki zako mbarikiwe wote nyie ni warembo sana.
WAZAZI WA BI HARUSI NILIANDIKA KABISA KUWA BABA YAKE DEVOTA ALIFARIKI MIEZI TU KABLA YA HARUSI NA MAMA PICHA NIMEMUWEKA SO RUDI KWENYE WEDDING PICS NA MAMA YAKE HUWEZI KOSA KUMUONA..,
Msema ukweli mpenzi wa mungu,Devota na boyfriend wako mko juuu sana!Nakubali mdau wa hapo juu ulivyosema kua huyu mzungu ni mzuri na msafi mpaka analeta raha.Keep it up sister
Napenda unavyojiwekaga Devota na uzuri wako unazidi kila kukicha mungu akuzidishie wewe na mpenzi wako wanafiki wajinyonge! Dada umejaliwa sana wewe!!!
sorry i meant wazazi wa bwana harusi ndio sijawaona.

Post a Comment