I SAID BEFORE KUHUSU HII ISSUE AND I CHOOSE NOT TO ANSWER BECAUSE SOME THINGS ARE PRIVATE BUT I CAN UNDASTAND SINCE MY NAME IS A MUSLIM NAME AND YOU SEE ME IN A CHURCH BUT I DONT THINK I SHOULD SIT HERE AND DISCUSS MY RELIGION OR ISSUES CONCERNING LA FAMILIA...,ALL IN ALL AM JUST NURU AND THATS WHAT MATTERS to me..,
Well Nuru Mohamed u might hve said it earliear na pengine hatukuona ndio maana tukauliza. Ni swali rahisi ambalo unaweza ukajibu 'am a muslim, or christian, au hata none of the above'. Ni kweli maisha yako binafsi lakn pia usisahau kuwa mengi unayoyaleta hapa ni maisha yako binafsi ambayo unapenda kushare na fans wako, try to b a bit friendly. Ni sawa tu niamue kukuuliza hivi wewe Nuru ni mwanaume au mwanamke kwa kuwa tu nakuona unavaa both suruali na magauni ambayo kimila hatuvaagi, but am sure ungenijibu tu haraka wewe ni mwanamke bila mbwembwe nyingi. Dini sio aibu jamani.
i dont think i was rude bcoz i said i dont wanna answer the question that will always be my choice..., and its very interesting to me kuwa umeanza na nuru mohamed coz that is not my last name so how come umeniita hivyo....just curious,,,,
Mhh, utachoka basi maana kila comment mpaka ujibizane na fans wako. Nakushauri kuwa usifikirie kwamba una maadui wengi, watu wengine wamegundua kuwa una short temper na wanaingia humu just to poke u na pia wanakupenda na wanapenda kazi yako but not enermies darling. Learn to ignore some shit.
Hapa ndio nimejua kwamba wewe unaact kuwa your social person and u like to share things with bloggers. Shame on you kwani umefika ulaya basi dini ndio ukaiweka pembeni because off kiti moto.. si useme tu wewe ni muslim au mpangani???? Au nyie ndio nyie mkishakuja pata wazungu basi dini mmesahau oh am not a muslim....!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
anony wa kwanza am fully aware of that na sitachoka kujibu watu ambao wana nia mbaya kwangu ila i know what u mean mbona vingi nnacha tu laasivyo heeee tungekuwa tushafunga blogi ahsante for ur words..,na anony wa pili kama umejua nnaact well then thats ur opinion n anyone is intitled to one maana kama vile we una haki ya kuandika hivyo na mie pia nna haki ya kuchoose what to share or not so deal with kwani ulaya hamna waislamu au ww unaishi ulaya gani..,acha ushamba panga wazungu cku hizi wanabadilisha jina na dini kumuowa muislamu but then again like i said deal with that!!!!!!
Nuru punguza hasira, utapata malengelenge ya moyo bure kwa fukuto la hasira. Na mioyo yenyewe ya siku hizi ilivyo ya kichina!! We dont wanna loose u so take care baby gal.
13 comments:
mungu awalinde wewe na family yako
mpende mama yako
eshima na utarabu umejifunza kutokea kwake
jamani empty chairs in a beautiful church. ni nini? nilifikiri u muslim.
medusa
IT WAS NOT EMPTY TRUST ME ON THAT SEMA WATU HAWAPENDI KUKAKAA MBELE NDO TATIZO SASA...,NA ANONY JUU AHSANTE NASHKURU...,
Nuru sikujua kumbe we mkristo.Mama kapendeza anaweza kukufunika ha ha ha.
Nuru kwani wewe dini gani? i thoguht ni muislamu lakn kwa haya nachanganyikiwa kidogo. just out of curiosity.
I SAID BEFORE KUHUSU HII ISSUE AND I CHOOSE NOT TO ANSWER BECAUSE SOME THINGS ARE PRIVATE BUT I CAN UNDASTAND SINCE MY NAME IS A MUSLIM NAME AND YOU SEE ME IN A CHURCH BUT I DONT THINK I SHOULD SIT HERE AND DISCUSS MY RELIGION OR ISSUES CONCERNING LA FAMILIA...,ALL IN ALL AM JUST NURU AND THATS WHAT MATTERS to me..,
Well Nuru Mohamed u might hve said it earliear na pengine hatukuona ndio maana tukauliza. Ni swali rahisi ambalo unaweza ukajibu 'am a muslim, or christian, au hata none of the above'. Ni kweli maisha yako binafsi lakn pia usisahau kuwa mengi unayoyaleta hapa ni maisha yako binafsi ambayo unapenda kushare na fans wako, try to b a bit friendly. Ni sawa tu niamue kukuuliza hivi wewe Nuru ni mwanaume au mwanamke kwa kuwa tu nakuona unavaa both suruali na magauni ambayo kimila hatuvaagi, but am sure ungenijibu tu haraka wewe ni mwanamke bila mbwembwe nyingi. Dini sio aibu jamani.
jose kani mind sana!! yaan nili miss mambo.. mli pendeza sana--
zully

Post a Comment