My comment is unrelated to the pictures.I just wanted to say kwamba nimetembea blog nying na hapa ndio nimeamua kufikia.Napenda ulivyo wazi na kutokuwaste time za watu.Mie zamani kidogo niliandika comment kukushushua wewe lakini ukaipost na pia kutoa maoni yako.I really respected you for that,unaelewa halisi maana ya freedom of speech.I think more people should move here and we could just all have a laugh and be happy,constructive and all.Asante kwa kutobania comment za watu.x
anony ahsante kwa kuwa mdau wa nze light nashkuru kwa maneno yako na sijui ulinishushua nini shosti hahahahha but all and all thats my aim kuwapa fashion and trends na ideas ili mtu aweze kujipanga kivyake na azidi kupendeza na pia i love to laugh and be happy..karibu tena na tena
3 comments:

Will tell you one day if i het to see you in bongo,hopefully we gonna laugh about,and asante sana tushakaribia.
Post a Comment