Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Tuesday, March 16, 2010

MAY GOD CONTINUE TO BLESS MY FAMILY,LOVE ONES AND MY FRIENDS!!!!


MY FAMILY WITH OUR NEW ADDITION...MMEONA MIMI MWANAMKE PEKE YANGUU
ME WITH MY BROTHERS...JOSEPH,ELIAS, MUSA AND KAMANDA WAOO...,



SO BEAUTIFUL....,



NIKO NA MAKAMANDA WENZANGUU..,MAMA YANGU KULIA NA DEVOTA KUSHOTO.,




14 comments:

Anonymous said...

I love your family.
Mungu awazidishie mapenzi.


disminder

NURU THE LIGHT said...

AHSANTE DISMINDER AND AMEEEEEN....,NAWEWE PIA MUNGU AKUWEKE HIVYOHIVYO ULIVYO MAANA UNA ROHO YA MAPENZI NA NI MSEMA UKWELI NA HAO WANAOCHUKIA UNAYOSEMA NI KWASABABU UNAWAPA LIKE IT IS..,GOD BLESS YOU TOO.,

Anonymous said...

NURU THE LIGH

NA MPENDA MAMA YAKO ANAVYO JIWEKA MWENYEWE MUNGU AWAJALIE MAISHA MAREFU

MDAU WAKO WASIKU ZOTE.

NURU THE LIGHT said...

ahsante sana mdau maana kuwa na mama ni kitu kizuri sana na nani kama mama pia mama anaekujali na kkupenda its a blessing from god...,wasioheshimu mama zao na za wengine ni watoto walioshindikana na kushinda kuendelesha maisha yao ndio maana unaambiwa heshimu wazazi duniani..,shukran mdau

Anonymous said...

God took time to create loved ones beautiful family God bless you!
mdau finland

NURU THE LIGHT said...

THANK YOU SO MUCH MDAU WA FINLAND...,

Anonymous said...

mie nakupenda sana Nuru naipenda sana blog yako, mpende sana mama yako mie sijamuona mama yangu mda mrefu sana lakini naongea naye kwa simu karibia kila siku, niko masomoni uk yaani hakuna kama mama keep it up gal.

PASSION4FASHION.TZ said...

Happy family,mungu azidi kuwapigania mlipendeza sana,halafu wote wazuri na nyuso za furaha,inapendeza sana kwa familia,hongera sana kwa mama.

Anonymous said...

Pendezaaaaaa wote mko juuuuuuuu
Nice familyyy.
From Jakii Sweden

Anonymous said...

it very lucy to have a mother ,i lost my mother when i was 12 yrs 1991,i miss her a lot.even now i have a family i wish my kids will have a grandmama but no replacement GOD love her more.love and respect your mother thats all you can do and you will be blessed.love you Nuru

NURU THE LIGHT said...

AM SO SORRY TO ANONY WHO LOST YOUR MOTHER AT SUCH A YOUNG AGE,,MY GRANDMOTHER IS DEAD AND I STILL REMEMBER THE DAY WE GOT THE CALL OF HER DEATH BECAUSE MY MOM SCREAMED SO LOUD SO I CAN ONLY IMAGINE BUT AM HAPPY THAT YOUV GOT YOUR FAMILY WHO LOVES YOU BECAUSE THAT IS THE MOST IMPORTANT THING...NA WADAU KWA SISI AMBAO TUKO UGHAIBUNI AND SO FAR AWAY FROM EITHER OUR MOTHERS OR FATHERS ITS NOT EASY I KNOW BUT WE JUST GOTTA KEEP INTOUCH AND SEE THEM AS SOON AS WE GET THE TIME KWAHIYO MDAU WA UK NAKUFEEL AND AHSANTE FOR EXPRESSING YOUR LOVE TO ME AND WHAT I DO NA JAKIIIII AHSANTE MAMIII NA PASSION SHOSTI MWAAAAAAAH..,THANK YOU ALL

Anonymous said...

Mdau wa UK pole sana dear.
wazazi wote ni watamu, lakini kama naambiwa chagua mimi nitachagua mama zaidi. kwa nini.
-Sababu ni muhimu sana kwangu kutokana na upendo wa dhati alioonyesha. Ametulea toka baba afariki 1987 she was very young! lakini hakutaka kuruka na mpaka leo hapa tumefika. Mungu ashukuriwe.
-Lakini kila jambo linatokea kwa reason, hivyo Mungu alimpenda zaidi na hatujui ni lipi alikusudia.
Mwenyezi Mungu awarehemu wazazi wetu wote na marehemu wengine. Amen.


disminder.

Anonymous said...

i love your family. very class. sori dad yuko wapi? just asking

NURU THE LIGHT said...

dad yupo but not on the picture..,maneno mazuri sana disminder