sasa unamuita kinyago ni kumtukana au unamsifia????kwakweli sijakuelewa lakini kama umemtukana we kweli haufai na ndo haya nikiyaongeleaga kuhusu mahaters mnapandisha hasira..why even hate on her when she is doing great...,kazi ipooo
nuru my sweetie wivu nimbaya.mtu hanafanya kazi yake then someone hanasubutu kumwita kinyago.ha ha ha anomy go and get a life lol!.flavy go girl we love you
Ama kweli beauty is in the eyes of the beholder. Kichwa kama embryo halafu anakata low cut. Tafuta mshauri mzuri wa kichwa chako, otherwise unafanya kazi nzuri sana na juhudi zako zitakufikisha mbali sana, keep it up a good job!! Najivunia kuwa na mtanzania mwenzangu anayeiweka ramani ya Tanzania kimataifa kwa juhudi zake mwenyewe. Haya haters na mnichambe lakn ukweli ndio huo.
ivi wewe ni mwanamke au mwanaume?kama ni mwanamke nadhani ujazaa ila kama umepanua uko chini usinge mwita mtoto wamwenzio kinyago ,pumbavu mkubwa wewe.tena umekosa kazi kwani ulitumwa uandike chochote ?kama ulikosa chakuandika siungeipotezea tu ,mwehuu wewe,nuru mami sasa ndo nimeelewa unavyo lalamikaga na comment za watu wasio jiheshimu
nuru watu wana wivu asikuambie mtu theres this saying u cant please everyone...U knw wewe fanya all that u do for urself binadamu hawareidhishwi kwanza watz ni wanafki sana lohhhhh aibu tupu!we love u flavy
mwenzako she is laughing all the way to the bank with a big cheque nyie mulie tu haters, the more you hate the more she is making money and name. so keep it up haters and you wont gain anything.
ATAFUTE USHAURI GANI WA KICHWA CHAKE AMBACHO HICHO NDIO KIMEMPATIA DILI NA NDO WATU WANAMPENDEA HICHO SINCE SHE COMPETED IN THE MS UNIVERSE...,ULISHINDWA TU KUSEMA ANAFANYA VIZURI ILA KIPARA WW HUKIWEZI...TAFUTA MANENO MAZURI YA KUMWAMBIA WAKATI UNAMFAHAMISHA MTU KITU...,UNAPENDA NA KUJIVUNIA KWA JINA LAKE ILA UNAMTUKANA KICHWA JAMANIII..., MIMI LABDA BEFORE NILIKUWA NIKIONGEA MNAONA NAONGEA SANA ILA HII NDO HALI HALISI YA WATU WETU NA INASIKITISHA SANA...,
Binadamu bwana,yaani badala ya kumpa tafu mtanzania mwenzetu kwa kazi nzuri unampa matusi!Flaviana Mungu akutangulie katika kila kitu,achana na hater.You are doing a good work and we love you
jamani mtu unamsema mwenzio kama wewe ULIJIUMBA???jamani this girl is blessed and god will continue to bless her i dont know her but she looks one of a kind and down to earth person...do it Flaviana go girl keep rocking and do your thing...
Goy this on UncleRush's tweets http://globalgrind.com/channel/news/content/1440545/The-Impossible-Dream-Becomes-Possible-By-Flaviana-Matata/ Sky is the limit for her,You have our prayers chaica
he he he he jamani dunia tambala bovu mtu akiwa hakupendi hata umsaidie pale alipo na shida atasema sikumwomba na ngali anahitaji msaada wako. flaviana ur cute umbo lako , kichwa chako vyote vimechangia wewe kufika hapo, ambaye anaona vibaya ye kafika wapi,wanawake wengi wanaogopa kukata nywele kwani watatisha but for u my dear u look pretty with or without hair, daima usikae ukasononeka pale unapoandikwa vibaya, jua ya kwamba unapoelekea ktk kilele cha mfanikio wapo wengi wanaokuvuta urudi nyuma, endeleza funny mummy.
16 comments:
Kinyago
sasa unamuita kinyago ni kumtukana au unamsifia????kwakweli sijakuelewa lakini kama umemtukana we kweli haufai na ndo haya nikiyaongeleaga kuhusu mahaters mnapandisha hasira..why even hate on her when she is doing great...,kazi ipooo
nuru my sweetie wivu nimbaya.mtu hanafanya kazi yake then someone hanasubutu kumwita kinyago.ha ha ha anomy go and get a life lol!.flavy go girl we love you
Ama kweli beauty is in the eyes of the beholder. Kichwa kama embryo halafu anakata low cut. Tafuta mshauri mzuri wa kichwa chako, otherwise unafanya kazi nzuri sana na juhudi zako zitakufikisha mbali sana, keep it up a good job!! Najivunia kuwa na mtanzania mwenzangu anayeiweka ramani ya Tanzania kimataifa kwa juhudi zake mwenyewe. Haya haters na mnichambe lakn ukweli ndio huo.
ivi wewe ni mwanamke au mwanaume?kama ni mwanamke nadhani ujazaa ila kama umepanua uko chini usinge mwita mtoto wamwenzio kinyago ,pumbavu mkubwa wewe.tena umekosa kazi kwani ulitumwa uandike chochote ?kama ulikosa chakuandika siungeipotezea tu ,mwehuu wewe,nuru mami sasa ndo nimeelewa unavyo lalamikaga na comment za watu wasio jiheshimu
nuru watu wana wivu asikuambie mtu theres this saying u cant please everyone...U knw wewe fanya all that u do for urself binadamu hawareidhishwi kwanza watz ni wanafki sana lohhhhh aibu tupu!we love u flavy
Watu donge tuu na baado mbona..Atawakomesha wale wote waliokua wanajidai na hawana lolote.Goooogoo flavvy matata...
mwenzako she is laughing all the way to the bank with a big cheque nyie mulie tu haters, the more you hate the more she is making money and name. so keep it up haters and you wont gain anything.
Husda jamani Husda!!!
Nuru nilikwambia zamani.
HERI KUKATWA NA BATI KULIKO KUKOSA BAHATI.
hahahahahahah
KEEEEP IT UPPPPP FLAVY.
unadatisharing!!
kwao nafasi hizo MGOGORO
disminder.
ATAFUTE USHAURI GANI WA KICHWA CHAKE AMBACHO HICHO NDIO KIMEMPATIA DILI NA NDO WATU WANAMPENDEA HICHO SINCE SHE COMPETED IN THE MS UNIVERSE...,ULISHINDWA TU KUSEMA ANAFANYA VIZURI ILA KIPARA WW HUKIWEZI...TAFUTA MANENO MAZURI YA KUMWAMBIA WAKATI UNAMFAHAMISHA MTU KITU...,UNAPENDA NA KUJIVUNIA KWA JINA LAKE ILA UNAMTUKANA KICHWA JAMANIII...,
MIMI LABDA BEFORE NILIKUWA NIKIONGEA MNAONA NAONGEA SANA ILA HII NDO HALI HALISI YA WATU WETU NA INASIKITISHA SANA...,
Binadamu bwana,yaani badala ya kumpa tafu mtanzania mwenzetu kwa kazi nzuri unampa matusi!Flaviana Mungu akutangulie katika kila kitu,achana na hater.You are doing a good work and we love you
Beautiful so proud of flaviana go girl sky is the limit.
Mdau Finland.
jamani mtu unamsema mwenzio kama wewe ULIJIUMBA???jamani this girl is blessed and god will continue to bless her i dont know her but she looks one of a kind and down to earth person...do it Flaviana go girl keep rocking and do your thing...
Goy this on UncleRush's tweets http://globalgrind.com/channel/news/content/1440545/The-Impossible-Dream-Becomes-Possible-By-Flaviana-Matata/
Sky is the limit for her,You have our prayers chaica
THAT LOOSER SHOULD GET A LIFE!!!SI MDOGO WAKO HUYO....BASI NAWE PIA KINYAGO!What's your problem?Do you pay her bills?

Post a Comment