IV BEEN WANTING TO RAISE THIS QUESTION FOR SOME TIMe now and today i feel like doing so..,
NURU ETI UNAWEZA KUPANDA DALADALA?Nilishapanda tena sana na ndo nilijua mji wa dar kwa njia hiyo NA HATA KAMA NINGEKUWA MTOTO WA OBAMA AU NDUGU NA KIKWETE STILL NINGEPANDA MAANA KWENYE DALADALA UNAONA MENGI NA KUJIFUNZA MENGI AMBAYO NDIO HALI HALISI KWA RAIYA WENGI TANZANIA.,TENA NILIVYOPANDA NILIKUTANA NA FANS WANGU TUKAKAA NA KUPIGA STORI MPAKA KONDA AKASAHAU KAZI YAKE ANANIPA MISTARI YA MSELA...,MIRIAM ODEMBA alikula kwa mama ntilie akaandikwa magazetini jamani WHYYYYYYYY..,TUTAENDELEA LINI KAMA TUTAKUWA NA HII MENTALITY..,
THERE ARE PEOPLE WHO TAKE AMBITIOUS OR CONFIDENT PEOPLE AS SOMETHING TO LOOK DOWN UPON SINCE THEY THEMSLEVVES LACK OF IT BUT WHAT I WOULD LIKE TO TELL EVERYONE IS THAT CONFIDENCE DOESNT COME IN A DAY,IT IS A PROCESS.A PROCESS WHICH NEEDS TO BE HANDLED WITH CARE AND TRUST ME IT STARTS AT HOME.
IF YOU ARE A PARENT START BUILDING UP YOUR KIDS AND EVEN YOUR PARTNER WITH SMALL THINGS AND IT WILL PAY OFF IN THE LONG RUN.
NIMEONA WATU WANAPENDA SANA KUSHUSHA WATU WANAOJIAMINI LAKINI MI NAONA UNAJISUMBUA KICHWA TU NA KUPOTEZA MDA MAANA HAO WATU WANAWATU WAO WHETHER NI MUME,MKE,WAZAZI WAKE A NDUGU ZAKE NA MARAFIKI WA KWELI AMBAO WANAMPA MOYO NA KUMSUPPORT WHICH TO ME NDO KITU MUHIMU SANA.
VITU MUHIMU SANA KWA BINADAMU KIMAISHA NI MAPENZI,SUPPORT,MALENGO ,ROHO SAFI,DINI AND CONFIDENCE.,Much love The Light
5 comments:
Word!
Moto huo huo NURU!Very well said!
People should just remember,- at the end of the day ,- its Ur life and no oneelse's business.
You go girl!!!
Nuru mie pia huwa nawashangaa sana watu wanaojifanya hawapandi daladala au hawafanyi vitu ambavyo wamekuwa wakivifanya. kwani kupanda daladala kuna nini?? Mtu unafanya utakavyo..ujue wandahani mtu ukiwa unaishi nje ya nchi ukifika nyumbani wewe ni mtu wa kujirusha kwasana....
Usiwasikize hao wambea na wanafiki wakubwa...wewe kaza buti kwenda mbele ..utapanda daladala au hata kufanya lolote unavyopenda wewe kwani ni maisha yako na si yao.
Rahima.
Duuuuh MANENO KUNTU.
ONGEZA MAROGO BABY.
VITABU VYA DINI TU VIMEANDIKA TUSOME SASA UTASOMA VIPI KAMA HUJICHANGANYI?
KUSOMA SI DARASANI TU, INGEKUWA HAKUNA PRACTICAL.
hahahahahahaahahhha
wataisoma tu hata kimya kimya.
HAO LIMEWAGANDA NA BAHATI HAWANA.
HERI KUKATWA NA BATI ........
KULIKO KUKOSA BAHATI.
HUSDA HIZO!!
Disminder
DISMINDER WE MKALIIIIIIII NENO HILO UMESEMA DADA YANGU...,
SIMON KAKA YANGU AHSANTE NA WW PIA AHSANTE KWA MANENO YAKO YANATUFUNZA
SIS F....THANKS
AND RAHIMA NDIYO HIVYO WATU LAZIMA WAANZE BADILI MAWAZO YAO KUHUSU WATU WA ULAYA NA PIA WA ULAYA WABADILI MAWAZO YAO KUHUSU WATU WA HOME MAANA AT THE END OF THE DAY SISI WOTE NI WATANZANIA..,
Post a Comment