Nilikwambia we mtundu baby.Next time nenda na Mikumi mpenzi uta-enjoy sana.Watanzania tutembelee vivutio vyetu jamani, tena ni bei rahisi kwa Watanzania.Hongera Nuru, kula raha dada.USISAHAU KUJA ZANZIBAR, NAKUKARIBISHA RASMI.disminder
AHSANTE KWA IDEA DISMINDER...,
Nuru umenikumbusha Mamba Ranch, ila wewe jasiri, mimi hata kugusa ukuta huo niliogopa, nimekukubali, we kiboko, i hope u enjoyed sana, big up
yes i did our guide was very informative n the ppl i went to were so scared uwanaume wote uliwaruka hahahah mimi na dada tu ndo tulikuwa wajasiri..,thanks ester
Post a Comment
4 comments:
Nilikwambia we mtundu baby.
Next time nenda na Mikumi mpenzi uta-enjoy sana.
Watanzania tutembelee vivutio vyetu jamani, tena ni bei rahisi kwa Watanzania.
Hongera Nuru, kula raha dada.
USISAHAU KUJA ZANZIBAR, NAKUKARIBISHA RASMI.
disminder