KUNA TOFAUTI YA KUMSIFIA MTU NA KUSEMA UKWELI NA MIMI HUWA NASEMA UKWELI KUHUSU BIDII NA MAENDELEO YA WATU,SASA KAMA WEWE HUPENDI HILO SIO TATIZO LANGU ILA TAFUTA NA WEWE CHAKUFANYA ILI UENDELEE KIMAISHA INSTEAD OF KUKAA NA KUPONDA WATU...,
NA KUHUSU MIMI KUONGEA ENGLISH YA KANUMBA HAHAHAHAHHA NDIO JIBU LANGU MAANA THAT COMMENT IS GETTING SO OLD NA CHENGINE NI KWAMBA KANUMBA NI MCHEZA SINEMA MKUBWA NCHINI MWETU JE WEWE UNAFANYA NINI?
HALAFU MZUNGU MWENYEWE MWENYE LUGHA YA KIINGEREZA HAJAWAHI KUNIAMBIA NNAONGEA BAD OR KANUMBA ENGLISH ILA WEWE MSWAHILI MWENZANGU NDO WAKWANZA KUPIGA KELELE WELL PIGA MPAKA MBINGUNI WAKUSKIE MIE NDO MIE SO DEAL WITH IT..,
ACHENI CHUKI BINAFSI MAANA THATS GETTING SO BORING AND SO 3000 AND LATE.
22 comments:
For sure baby!!
Mzungu akiongea broken swahili mbona haambiwi lolote?
Acheni kuwa nyuma!
Sisi ambao tuko katika Tourism industry tunaelewa!!
Tena mzungu ukiongea broken english ndiyo anataka kukusikiliza kwa makini ili aelewe kwani anajua si lugha yako, na anapenda kukufundisha zaidi.
NURU BABY WAKAANGA SUMU SASA WAMEZIDIWA!! WAMESHINDWA KWA JIDE, TK, ZEZE, N.K SASA WANAHAMIA HUKU?
MMECHEMSHA SANA.
kweli wahenga walisema
MFA MAJI HAISHI KUTAPATAPA
na
MWISHO WA MNAFIKI KUDHALILIKA.
KAMA UNAJIAMINI TUAMBIE WEWE NANI UNAYE SEMA NA MIOYO YA WATU.
Marogooooooooooooooooooooooooooo
Watashaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
disminder.
Haaaaaaa wamekosa bahati hao Nuru.
HUSDA
Nuru let him/her say whatever they feel like, the fact remains that you will always remain the light and thats it. Dont mind any crup they say about you.Cause your a super star and they are not, what do you expect!!!! they are kind of gelous for you.
Much luv,
Anna
Nuru let him/her say whatever they feel like, the fact remains that you will always remain the light and thats it. Dont mind any crup they say about you.Cause your a super star and they are not, what do you expect!!!! they are kind of gelous for you.
Much luv,
Anna
Well said,message imefika maana hata mi mdau nilishangaa ma comment mengine ya watu ila Nuru ungeendelea tu wala usingewajibu watu wasio na maana wala kazi.Chanzo cha chuki mara nyingi ni wivu..kwanini mtu awe na chuki kama karidhika na maisha yake mwenyewe,kwa wale wenye ma-issue yao i suggest wajaribu kujiendeleza,watashangaa jinsi gani maendeleo yanaondoa chuki.Lets support eachother kama watanzania na tutafika tu.
Najua mtajibu na ma blah blah blah lakini ukweli ni huu.BADILIKA
ps.mie simjui wala sijawahi kumuona NURU.Mdau Masaki.
Maneno ya watu hayaui so keep livin ur life and absolutely ignore the haters coz they ain't on your league babes. xx
well well nuru waambie hao ma haters.All yes you ve all the rights kumsifia mtu.am am so glad you did it.hao wanasema ujui english mbona ni wa swahili tu.english is not our mother tongue so we re bound to make mistake.keep your head up.you re beatiful talented what more can i say.love you baby girl.lazima nawewe nikupe sifa
I love you nuru unatuwakilisha watanzania na tunakupenda sana hao wanaosema ni wivi siunajua loooooooooooosers tena vipaji vyao ni midomo:)
let them tok mami tell them u dont care!!!!
u rock babe wala usijali kusema ni kawaida ata ungefanya jema vipi watakusema kwa ubaya tu.ila wengi watakupenda wachache wenye chuki zao watashindwa tu.Lv u Nuru
kwenda zako usiambiwe ukweli.kwani we unafanya nini mjini zaidi ya kublogua bure mpaka u wadiss wenzako?.na wewe disminder acha uswahili.na hilo neno lako la marogo limepitwa na wakati.u make mi sik
Uuuuwiiiiiiiiiiiiii
Msumari huo!!!
Nuru baby ongeza marogoooooooooooooooo
Bifu siyo ishu
wataisoma tu hata kimya kimya!!!
disminder.
AHAHAHAHHHAAHAH ANONY DO I EVEN NEED TO ANSWER YOU MAANA COMMENT YAKO TU TAYARI NAONA NIMEKULENGAAAA ALOOOOOO POLE SANA.,
SAMAHANI,WADAU am Edis ni Mtanzania ningependa kumkosoa NURU anavyo sema it's boring and so 3000 and late anakosea coz haya maneno ni maneno ya fergie kwenye nyimbo ya kundi lake black eyed peas namshauri asikilize lyrics vizuri coz Fergie alivyozitumia kwenye na yeye ni tofauti fergie anasema am so three thousand and eight ur so two thousand and late wenye akili wanakuona bado huna point coz kuna controversy kati ya statement ya originator(FERGIE) na jinsi wewe ulivyoitumia unataka kukuosoa walikukosoa tumia statements zitakazo wa-prove wrong and sio zitakazo zidi kuondolea credit natamani sana unijibu keep up the good work tunakukubali.
mmh
mi nuru nikushauri kitu kimoja
dada hivi tz au katika jamii za kibongo tuna watu wa aina mbili wanaojifunza na kubadilika kulingana na wakati na kuna wasiobadilika, sasa sikia ukiona mtu kakoment vibaya it might be sio hater basi hataki kukubali ukweli kwamba mambo sasa hivi yako 2000 miles away from him or her,we nyamaza jikasirikie zako furaha ikirudi endelea yani kuna watu wana kitu kama hivi anaona kama unajidai kumbe unafanya vitu kwa upendo wako tu binasi maskini we nyamaza tu good intentions huwa zinawin,anayetaka english iliyonyooka sana asikilize bbc au aende uingereza nyumbani kwa malkia chumbani kabisa ndio ataisikia otherwise hakuna sehemu nyingine inayoongea english ya kunyooka kivile
keep up the positive persperctive in life so we continue to be inspired
luv you a lot beautiful
EDIS ONE THING U NEED TO UNDASTAND IS THAT KUSOMA KITU KILICHOANDIKWA ON THE CONTENT NA MADA HII BILA KUONGEA SANA NI KWAMBA I QUOTED FERGIE ON THAT STATEMENT BECAUSE THATS HOW I FEEL KWAMBA CHUKI BINAFSI IS GETTING REALLY BORING AND SO 3000 AND LATE MAANA TUMESHACHOKA NA HIZI COMMENTS ZIMESHAPITWA NA WAKATI MAANA HAWANA JIPYA ILA MANENO NI YALEYALE.AND TRUST ME EDIS ZE POINTI IMEELEWEKA.,AHSANTE
ANONY HAPO JUU AHSANTE KWA MANENO YAKO NA WOTEEE MLOCHANGIA MADA NAWASHKURU SANA.
the point is still there like Edis said, umekosea kutumia hio statement ya fergie coz sivo anavosema yeye. mambo ya kuiga, matokea yake ndo haya.....unashindwa hata kuiga properly wakati GOOGLE is there for A REASON!!! hapo ndo umeiga ya mtu na ndo umekosea, je ungeambiwa utunge yakwako mwenyewe ingekuaje? lolz. this is what you was supposed to say "im so 3008, u're so 2000 and late"!!! sio "u're so 3000 and late" coz ITS NOT 3000 YET so how can it be late? ah jamani kizungu kigumu wallahi! lol. anyways....nice blog, keep up the good work miss light.
LORD HAVE MERCY ON MEEEEEEEEEEEEEE....,MBONA MASHAIRI TUMESHAANDIKA NA NYIMBO ZINAJULIKANA HALOOOOOOOO...,I DONT UNDASTAND WHY U EVEN BOTHERED LABDA U DONT UNDASTAND THE MEANING OF QUOTING SOMEBODY AND I STILL THINK CHUKI BINAFSI IS SO 3000 AND LATE MAANA TUMESHACHOKAAAAAAA CANT U PPL GET THAT
Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!
its UNDERSTAND!!!!!!!!!! hayo "mashairi" uliyaandika kwa lugha gani? kha! nasikiliza SANA bongo flave and english music na sijawai kukuskia so u must be pretty shit! labda unaandikia nyumbani and unaweka kabatini.
ubishi acha mama....kubali umekosea and usiige celebrities next time na kama utaiga then iga ueleweke sio kuparamia tu ilimradi umquote celebrity wakati quote yenyewe sio! kwani we unajua "quote" maana yake ni nini? narudia tena....KIZUNGU KIGUMU JAMANI rudini shule maana hizi blog zenu za kucopy and paste haziwafungui akili wala kupanua mawazo! sifuri kabisaaa!
anony kwanza ungetaka kunifundisha mimi kitu usianze kuponda na kama hujaniskia mimi wala hilo haliniumi na kunisumbua kichwa maana watu wamaana kwangu wameshaniskia na kama kikwete n the legend bi kidude kaniskia mimi na anapenda nyimbo yangu walimwengu so who r u kutokuiskia au ulifikiri utaniumiza kutoa hiyo comment kwamba mm am pretty shit well i guess u i jut made ur miserable day kuirusha hii comment alooooooooooo hahahahha na bado yaani watu wengine mnacoment kama vile vitu hamuoni na viko waziii we anony wa pili hizi blogi zenu so kama hamna kitu unafuata humu uliingia kufanya nini au ulikosea njia ukafikiri umo zeutamu....,hahahhhha ndo haya tunayaongelea acheni chuki binafsi aiseeee na ukweli huwa unauma eeeeh ndo mana mmejibu maneno makaliii halafu mkakutana na mwanga aiseeeee...,
Post a Comment