HAPPY ONE YEAR ANNIVERSARY TO NURU THE LIGHT.I DID IT YALL AND I WANNA THANK YOU.
STARTIN THIS JOURNEY I DIDNT AND COULDNT IMAGINE WHAT AN IMPACT I WOULD HAVE ON MANY PEOPLE OUTTHERE..AHSANTENI SANA WADAU NAWASHKURU NA KARIBUNI TENA NA TENA NYUMBANI KWANGU..,
AWWW HAPPY BIRTHDAY NURU. FOR SURE YOU ARE A LIGHT THAT SHINES FOR REAL TO THE WORLD OUT THERE,KEEP IT UP HON & GOD BLESS YOU. I DO WISH U MANY MORE YEARS OF SUCCESS. MUCH MUCH LOVE JESTINA. XXXX
Hi dear, I wish u a happy birthday and keep it up, actually your blog, hua inanisaidia sana kwenye fashion, na mie hua sio mzuri sana kwenye fashion, thanks a lot.
Happy birthday our blog.Naipenda na nitazidi kuipenda Nuru the light blog mana nami karibu ntakuwa mtu wa fashion ati ha ha ha niko kwenye maandalizi na mi niwe fashionista au sio Disminder embu tufanye jitihada izo.Nuru my advice ni kuwa kila kitu ni malengo na ujasiri na pia kumuomba mwenyenzi MUngu akupe nguvu na uweza utafanikiwa na kufika malengo.Lv u sana. Na mazuri kuyafanyia kazi mabaya achana nayo mana sio kila mtu anapenda maendeleo ya mtu.alwayz blessed mummy.Nuru the Light blog Hureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
nuru mimi nakutakia kilala kheri katika maisha yako na hakuna linaloshindikana kwa mungu kila unachokipanga mshirikishe utapata majibu.na ninaomba uiweke hii picha ya kwanza katika profile lako ndio picha ambayo umetokea vizuri uso kuliko zote na inavutia kuliko hii ya kijani ina kutoa uzuri ulio nao wakati wewe ni mzuri.mdau miss kilimanjaro,finland.
Nuru Mdada. Niseme nini sasa? Nakutakia kila lililo jema Dear. Umekuwa Mwanga bin Nuru na naamini wengi wapendao hapa wanajifunza kitu. Kuwa mfunzi si faraja tu, bali ni baraka, na naamini UNABARIKIWA KWA KUWA MFUNZI KWA NAMNA ULIVYO Nakuombea kila lililo jema katika kuanza mwaka wa pili. Natambua HISIA ulizonazo kwa kufanikisha mwaka wa kwanza. Nami nimeukamilisha miezi michache iliyopita (japo waweza kutokuwa na mafanikio kama wako) Nakutakia mafanikio na kila la kheri Dada Blessings
18 comments:
AWWW HAPPY BIRTHDAY NURU. FOR SURE YOU ARE A LIGHT THAT SHINES FOR REAL TO THE WORLD OUT THERE,KEEP IT UP HON & GOD BLESS YOU. I DO WISH U MANY MORE YEARS OF SUCCESS. MUCH MUCH LOVE JESTINA. XXXX
HAPPY BIRTHDAY TO THE BLOG!!! Much love sis!!! Always supportin ya! xx
AHSANTENI SANA FROM THE BOTTOM OF MY HEART..,
Hi dear, I wish u a happy birthday and keep it up, actually your blog, hua inanisaidia sana kwenye fashion, na mie hua sio mzuri sana kwenye fashion, thanks a lot.
Happy birthday our blog.Naipenda na nitazidi kuipenda Nuru the light blog mana nami karibu ntakuwa mtu wa fashion ati ha ha ha niko kwenye maandalizi na mi niwe fashionista au sio Disminder embu tufanye jitihada izo.Nuru my advice ni kuwa kila kitu ni malengo na ujasiri na pia kumuomba mwenyenzi MUngu akupe nguvu na uweza utafanikiwa na kufika malengo.Lv u sana. Na mazuri kuyafanyia kazi mabaya achana nayo mana sio kila mtu anapenda maendeleo ya mtu.alwayz blessed mummy.Nuru the Light blog Hureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Wish u all the best mamii Fashionista
Happy Bday 2 the Blog
xoxo
Yo smart ila the shoes are so oveeeer.fashionjukii can guide u on this.
mdau bongo.
nuru mimi nakutakia kilala kheri katika maisha yako na hakuna linaloshindikana kwa mungu kila unachokipanga mshirikishe utapata majibu.na ninaomba uiweke hii picha ya kwanza katika profile lako ndio picha ambayo umetokea vizuri uso kuliko zote na inavutia kuliko hii ya kijani ina kutoa uzuri ulio nao wakati wewe ni mzuri.mdau miss kilimanjaro,finland.
THANKS ALOT GUYSSSSSSSSSSSS....,I REALLY APPRECIATE IT
All the bests with lotz of luvz. Keep it up!! It's just the bening of somethin BIG!!
JAh Bless!!!
/Juce
Hongera sana blog yetu kwa kutimiza mwaka mmoja!!! All the Best,Tupo pamoja sana Nuru!Kazi njema.
Hongera blog ya NURU the light! Na tunasubiri mambo motomoto zaidi.
TACK BRORSAN I LOVE UUUUU...NA WENGINEO WOTE AHSANTENI SANAAAA.,
Happy Birthday Nuru the Light! Love your work. x
BIG UP NURU YOU ARE THE LIGHT WISHING YOU MANY MANY YEARS OF SUCCESS BIG LOVE.MDAU FINLAND
CONGRATS MAAA KEEP ON ROCKING!!
Happy birthday the mwanga!lol si mchezo umetoka mwao shost,mwa!mwaaa!
Nuru Mdada.
Niseme nini sasa?
Nakutakia kila lililo jema Dear.
Umekuwa Mwanga bin Nuru na naamini wengi wapendao hapa wanajifunza kitu.
Kuwa mfunzi si faraja tu, bali ni baraka, na naamini UNABARIKIWA KWA KUWA MFUNZI KWA NAMNA ULIVYO
Nakuombea kila lililo jema katika kuanza mwaka wa pili. Natambua HISIA ulizonazo kwa kufanikisha mwaka wa kwanza. Nami nimeukamilisha miezi michache iliyopita (japo waweza kutokuwa na mafanikio kama wako)
Nakutakia mafanikio na kila la kheri Dada
Blessings
Post a Comment