Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Wednesday, December 16, 2009

JAYDEE TUNASHKURU SANA KWA KUTUALIKA...,Mungu Akuzidishie na ubarikiwe much love from Nuru the Light

SALOME WITH JIDE...,THE HAIR SISTA IS LOOKIN GOOD
NURU,MO ROCKAH AND JIDE...,

ME AND MORACKAH WHO WAS VOTED THE SEXIEST MAN IN DAR.,


5 comments:

Candy1 said...

aaaw u looking great hun!! hope ya hvin fun! miss ya

Sab said...

Waaaaaaaaaau lovely lovey pic.Nuru love u much.Tulifurahi sana siku iyo kwa Jide mi nilifurahi zaidi kukuona uso kwa uso

Anonymous said...

Hallo da nuru,

Kweli mlipendeza sana si vibaya
kumshukuru jide.

Ila kuna kitu kinaniumiza kichwa kila nikijaribu kupepesa macho ndo kabisaaa bado niko njia panda,

Kila mtu naona kashika kitu chekundu nikiangalia kama ni glass sipati jibu, nikisema ni mshumaa hapana, je mlikuwa mmeshika nini????

mdau wako,
dsm

Anonymous said...

hahahahahahaha, mbona picha chache, au aliwaalika wachache wewe na Mo racka, mh

Anonymous said...

Nuru baby nipe siri ya urembo wako mpz.
unavuta sana.


disminder