Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Monday, November 23, 2009

DEDICATED TO ALL THE HATERS AND FAKE PPL OUT THERE..,Mnajijua

WHY IS IT WATU MNAPENDA SANA KUFUATILIA MAISHA YANGU MKINIONA BARABARANI MNAPIGA MAKELELE NURU NURUUUUUUUUUU JAMANI KULIKONI MTU MZIMA NA AKILI ZAKE ANAKIMBIA NUSU KUGONGWA NA GARI UWE MAITI KWANINI?
ah NURU UMEJIFICHA? NIJIFICHE KWANI MIMI USAMA NIKO WANTED HALOOOO...
UNAKAAA WAPI,UNAFANYA NINI,NANI KAKUFICHA AU UNAENDA KUJIRUSHA SEHEMU GANI AISEE YAANI HAUONEKANI KABISAAA LORD HAVE MERCY ON NURU MAANA KUWA NURU SASA IMEKUWA SHIDA...,

MIMI NILIKUWA MTU MCHESHI SANA KWA WATU WANGU LAKINI TODAY I KNOW BETTER KUWA WALIMWENGU NI WALIMWENGU TUU KAMA NILIVYOWAIMBIA KWENYE MWIMBO WANGU. SIKATAI KUSEMWA MAANA HICHO N KITU CHA KAWAIDA TENA SANAAA SASA IMAGINE MTU ANAKUPA POLE KUANDIKWA KWENYE ZEUTAMU KWANI NANI KAFARIKI UNIPE POLE MIMI...I DONT GIVE A FUCK KWAMBA NILIANDIKWA MULE KWANI WHAT IS THE BIG DEAL SI MNAMUONA MWENZENU ALIPOISHIA SASA BAADA YA MJIFUNZE NO NO NO NDO KWANZAAA MINAFIKI KUCHA KUTWA KUKUFATA NA KUTAKA KUJUA MAMBO YANGU.

ME AM ME AND WILL ALWAYS BE ME NA NAMSHUKURU SANA MAMA YANGU KWA KUNIPA CONFIDENCE TOKA UTOTONI SO MTAONGEAA,MTANIFUATILIA BUT AM STILL GONNA BE NURU THE LIGHT CREATED FOR A BIGGER PURPOSE THAN YOU AND I MEAN YOU WEWE MNAFIKI UNAESOMA SASA HIVI WILL EVER UNDASTAND.

KAMA WEWE UMESHAJILIMIT KWENYE MAISHA YAKO USIFIKIRIE NA MIMI NIMEFANYA HIVYO.WATU TUNASTRUGGLE KUTENGENEZA MAISHA YETU SO KWA WALE AMBAO MNAOPENDA KUNIFUATILIA KIHIVYOO NAWAPA TU USHAURI UKINIONA PLIZ DONT SAY SHIT TO ME MAANA ROHO YAKO SIO SAFI KWANGU SO SAVE IT FOR SOMEONE JUST LIKE YOU AND LEAVE THE LIGHT ALONE..,

26 comments:

Anonymous said...

mimi ni mtanzania mabaye naishi india hiyo nndio tabia ya watanzania wakiwa nje ya nchi ni kwasababu tu wote tunaongea kiswahili, wewe fanya mambo yako achana nao maneno yao hayawezi kukubadilisha ww utaendelea kuwa nuru the light. wabongo ni wanafki sana na walahatupendani, big up do u r things girl

arajack said...

hee hii nayo kali Best we unashindana na Binadamu ? hujui ukiwa juu maadui nao wanazidi ? unataka kuanza kujibishana nao Nuru usiniangushe Bwana Go on with your life ...watu wapo kila sehemu jamani

Sab said...

Mmmh pole mama.ndio binadamu tulivyo tunatofautiana sana

Anonymous said...

Nuru the light wewe ni light kama jina lako linavyomaanisha sasa mwenzangu kulikoni mi binafsi sikufahamu na wala sijawahi kukuona ila ni msomaji mzuri sana wa blog yako, coz mimi ni mpenzi sana wa fashion na napenda kujua whats going on hasa kwenye fashion industry world wide. sasa kusema wewe mnafiki unaesoma sasa hivi unatutisha mwenzangu coz sio wote tunaopitia blog yako ni wanafiki wanafiki ni watu wanaokufahamu na siajabu ni watu wakaribu yako. Pole mwaya ndivyo walimwengu tulivyo

Anonymous said...

Safi sana!wape hao wasiokua na kazi kutwa kuzungumza ya watu wenyewe hawajiwezi walevi wakubwa hao!Theutamu kwani ndo kitu gani?wangapi waliandikwa mule na hakuna chochote cha ajabu kwa mtu mwenye akili zake ni misenge tu ndo inababaika na life za watu,asiekua na akili utamjua tu anavyoangaika akikuona ndo anajishebedua kujiongelesha kha!umeulizwa?Acheni ushetani wabongo tafuteni lishe ndo iliyowaleta ulaya sio kufuatilia maisha ya wenzenu wakati wangapi wamejichokea hawana nyuma wala mbele!!!dunia itawafunza wote ambao mna roho za korosho na mnajijua wote kwa ujumla.Fuck u all

Anonymous said...

Nuru mi nakushauri kama unawajua hao watu bora uwambie face to face then may b wataacha but kwa ninavyowajua wabongo hawawezi kuacha kuna watu hiyo ndio kazi yao wangine wamesomea hayo mambo!!

Anonymous said...

Hatujakuelewa Nuru,what is the meaning of being a star,why did u choose music,why did u choose blogging,they are the fans and u introduce them to ur music cum blog,
labda sijakuelewa maana labda,so u dont want to hear pipo to waves at u,ambao wamekuona kwenye video au kwenye blog yako???
If that so then change ur blog name then give to ur family members na friends tu or dont sing anymore,
sababu watu watakuona tu kwenye nyimbo.
am not a fan,but nikiwa nimekosa cha kuona uwa napitia baadhi ya blog nilizoziona kwenye link tofauti kwenye blog zingine,lakini kama nimekuona hapo kwenye blog au tukakutana kwenye mall au club kama nakuzimia lazima nitakuita NURU wewe si unablog na napenda ur blog or napenda nyimbo zako,
sasa sielewi unataka nini,HAUTAKI FANS au nini,
kama sijakuelewa nieleweshe,maana kama ni hivyo basi ni star wa kwanza itakuwa kukusikia haupendi fans hapa DUNIANI,
NI HAYO TU,
BINTI HAPA

NURU THE LIGHT said...

NAONA TU NIMJIBU ANONY WA KWANZA MAANA YEYE TU NDO HAJANIELEWA BUT FIRST OF ALL HII PEACE NILIIANDIKA KWA WALE AMBAO WAO WANAJIJUA NA KUJIFAHAMU TENA SANA NA SIO KWA WALE WADAU WANGU AMABAO HUWA MNAINGIA HUMU KUNISOMA KWASABABU MNAPENDA FASHION MAANA NYINYI MMENIPOKEA NA KUNIKUBALI KWA MOYO WOTE..,
ANONY MIMI KUANZA KUIMBA SIO KAMA NILITAKA KUWA A STAR ILA IT COMES WITH THE JOB N KUNA BOTH GOOD N BAD THAT COMES WITH IT.I HAVE NO PROBLEMS WITH FANS COMIN UP TO ME ANYTIME OF DAY ILA TATIZO LANGU I KWA WALE WATU AMBAO NI WANAFIKI NA USUALLLY R PPL TUNAWAJUA NA KUWAFAHAMU...MY QUESTION IS IF U DONT LIKE ME NA HUWA UNANISEMA KWANINI UKINIONA NJIANI UNAKIMBILIA KUNIPA HI..,HAMNA BINADAMU ANAYEPENDWA NA ULIMWENGU MZIMA ILA KAMA HUNIPENDI TO ME ITS ALL GOOD BUT JUST LEAVE ME AS I AM..,
TATIZO HAWA WATU HAWAKUBALI UKWELI NA BADO WAKO CURIOUS KUJUA MAISHA YAKO YAKOJE NDIPO HAPO MIMI WANANIACHAGA HOI.,SO ANONY IV GOT NOTHING BUT LOVE FOR MA FANS BUT NONE KWA WANAFIKI..,

Anonymous said...

JAMANI THEUTAMU ANADAMU YA KUNGUNI MALAYA YULE KILA MTU ANA GOMBANA NAYE MM NIMEMCHOKA AKILI YAKE IPO MKUNDUNI YULE MALAYA,MSHAMBA JOGOO LASHAMBA ALIWIKI MJINI BABU WE,YA KULALA NA B...YAKO TUME KUIFHDHI SIRI ZAKO UCTAKE TUZISEME KINYAGO CHA MPAPURE WE, KUTWA KUCHA KUZUNGUKA KUTAKA KUJUA YA WEZIO KISALATA MKUBWA WEWE,UATASUTWA MSHAMABA WEWE PARAMIA JIJI KWA PUPAHEE??THE LIGHT NAOMBA UCBANIE KOMMET YANGU ACHIA DADAIYO AJIJUE FISADI KUHANI MKBWA

Anonymous said...

Girl ingekuwa kusemwa watu wananyofoka nyama mastars wotee wa majuu wangekuwa mifupa!!!Ignore them, don't give 'em a chance to bother U! You know sometimes people wish 2 be like somebody which is not easy.Let them dream......you don't need to respond to their salaams....let them wave their hands till get tired....

You are Nuru and always be you nobody can change....
Peace and love

Anonymous said...

Girl ingekuwa kusemwa watu wananyofoka nyama mastars wotee wa majuu wangekuwa mifupa!!!Ignore them, don't give 'em a chance to bother U! You know sometimes people wish 2 be like somebody which is not easy.Let them dream......you don't need to respond to their salaams....let them wave their hands till get tired....

You are Nuru and always be you nobody can change....
Peace and love

Anonymous said...

if u dont give a shit then y did u write this peace kuna watu kama M.. wao wanasemwa kutwa but hawashambulii hata siku moja kusema lolote maana itz true they dont give a damn.U do give a fuck thts why umeandika na mara nyingi if u give a fuck datz wen u`ll write n pretend dat u dont wakati u do. Remove the post na tutajua kuwa u dont give a fuck coz u wont even bother even posting this bullshit.All the best

Anonymous said...

ur english is pathetic..eti ME AM ME..sema I AM ME sio direct tanslation pia i hate haterism sio hatersim ni HATRED my dear.ur english is sickening.Stick to kiswahili. Pole kwa yaliokukuta tough(ya kusemwa ndio dunia ilivo!

Anonymous said...

mmh the light acha ushamba kukusalimia ndio maneno yote hayo? heheh wewe mswahili tena wa mbagala,kutwa kuandika matusi kwenye status zako za facebook hivi uko sawa kweli akilini kwako au kuna something wrong? samahani kama nimeandika kwaubaya still lov u thelight.

NURU THE LIGHT said...

mshamba labda ni ww tena kutoka hukohuko ulipopataja na ndio watu kama nyie huwa naandika facebook wambeya kuniadd ili uone kila siku naweka status gani yatakushindaaaa.last time i checked akili zangu ziko timamu tena sanaa na kama umeandika kwa uzuri au ubaya hilo ibu ubalo mwenyewe BY THE WAY SAMAHANI KAMA NIMEKUJIBU KWA UBAYA NA MATUSI YATAENDELEA ON MA FACEBOOK MAANA MSEMA UKWELI ALWAYS HUWA ANACHUKIWA.

NURU THE LIGHT said...

ASANTE MWALIMU....,NA HATERISM IS MY WORD USIFIKIRI CJUI INAITWA HATRED LOVE.., BUT LIKE I SAID AHSANTE MWALIMU N AHSANTE

NURU THE LIGHT said...

haooooooooooooooooo haooooooooo wanasema ya watu yakwao yanawashinda haooooo..kwanini niitoe wakati ndo hali halisi au nimekukuna maana we ni mmoja wao..,pliz haujaelewa nilichoandika au..,I DONT GIVE A FUCK NA WANAFKI MKINIONA PLIZ DO LEAVE ME ALONE AND THATS WHATS THE PEACE IS ALL ABOUT...,HII NI BLOG YANGU N I WILL POST WHATEVA I FEEL LIKE POSTIN...KARIBU TENA

Anonymous said...

Oh my, Please! Nuru I don't know you but I like you very much!! I don't understand why you keep arguing with those "sour grapes"! They know nothing about you..let them talk, don't give a damn!When you respond you seems that "kimekukuna" which isn't...Du bor utomlands andra vill vara precis som ni, att vad ni har som aldrig kommer att hända... förlorare!!!

Hålla det verkliga baby!

Nuruya.

Anonymous said...

JAMANI UMUNDANI ATUWATAKI MALAYA WALIOKWISHA CHOKA NA MAISHA YAO WASIO MKAA NA MABASHA ZAO WAKA TULIZWA KAMA WANA NYENGE,AKUNA ALIYE SOMA KUPITA WENGINE SHULE AFRIKA ZIMEANZISHWA (SIMDA) TAZAMA WEZETU WAZUNGU WAMEAZA KUSOMA MABABU NA MABUBU SEBUSE ITAKUJA KUA SISI??

ONDOKA ATUJA KUITA UMUNDANI

Anonymous said...

attention seeker!who talks about you anyway?i wouldnt...ur not worth to be talked bout, muziki zero..nuthing nuthing wanakusemea nini?uzuri zero//

PASSION4FASHION.TZ said...

Omg,Nuru vipi tena?mbona nimeogopa! he! he! msg. kali hiyo wakati nasoma nilipofikia kwenye "wewe mnafiki unaesoma sasa hivi"to be honest nimeogopa sana,anyway ndio mambo pole sana.

NURU THE LIGHT said...

NURUYAAAAAAAA AHSANTE SANA JAG VET O FÖRSTÅR DIN POÄNG TILL FULLO MEN PROBLEMET E NÄR DESSA MÄNNISKOR SER EN SO SKA DE ÄNDÅ KOMMA O VILL PRATA MED EN HERREGUD...

ANONY ULOANDIKA MUSIC ZERO..UZURI ZERO AISEE YAANI WEWE NDO BONGE LA NYAMBAAAAAAAF.. BUT HEY KEEP ON HATIN MAANA NINGEKUWA AINT WORTH A SHIT USINGEPOTEZA MDA WAKO KUANDIKA HIYO COMMENT...AHSANTE HAPO ANONY WA JUU WAPE WAPEEEEEE

Anonymous said...

WEWE;NOV 12:23INA MAANA UJAHELE KI SWAHILI?AU NDIO NYIE WENGINE MNAO IEJIITA WA TANZANIA WAKIMBIZI MLIO KUA MKIUZA MIKUNDU YENU JOLI,NA Q SASA MNAJIONA MKO MATAWI YA JUU HEEHEE??
NIMESHA SEMA KUMNANGA MTOTO WA MWEZENU MUACHE,MWENZENU KAZALIWA KAMA NYIE MLIJABWA HIZO NI SHIDA ZENU MIKUNDU NYIE HEHEHEE!!!KWATAARIFA YENU NAWAJUA MALAYA KAMA 10. MNAO KAA BILA KAZI SASA BASI,UMU NDANI ATUTAKI UMBEA

Mdau Tdot said...

Nuru, this is your blog and you can wrote whatever you want to, but it was in the way you wrote your article that confused people. Maybe you wrote it in haste or while full of anger, but your article seems to include everyone who reads it... "wewe mnafiki unaesoma sasa hivi". thats why mdau wa kwanza alishindwa kukuelewa na kwa kweli wadau wengi watakaosoma hii piece watashindwa kukuelewa unless ndio hao 'haters' uliowataja. You have to be aware that there are hundreds if not thousands of people who read your blog, you should have articulated your article in a different way.

They say if you argue with a fool, you will become a fool just like them. Huyo mtu alivyokukimbilia na unafiki wake usingemchelewesha, ungemwambia palepale mambo uliyoyataja humu na kuyamaliza papohapo. Yes this is your blog, but doing it here just shows you have sunk to their low level of being, and you know your better than that...so wise up!

NURU THE LIGHT said...

MDAU TDOT I GET UR POINT VIZURI SANA N IF THERE IS ANY MISSUNDASTANDING KWA WALE AMBAO WALIFIKIRI NIMEWAPOINT I HOPE NIMEFAFANUA VIZURI ILI WAJUE KWAMBA ITS NOT ABOUT THEM...NA WALE AMBAO WANAJIJUA WHICH THEY KNOW WHO THEY ARE NDIO NAWAPOINT TENA...NA HUYO ALONIKIMBILIA CAN U IMAGINE WAKATI MI NIMEMWAMBIA SITAKI BADO ALIKUWA ANANG!ANANIA NA KUNIVUTA TENA LIJITU LIZIMA HAPO MIE NDO MAANA I WAS LIKE IV HAD IT SO WITH THAT BEING SAID TRUST TDOT HABBAR NDO HIYO NA WAMEIPATA...,AISEE ANONY JUU MPE WA NOV23 NDO MAANA NAWAPENDA WADAU WANGU WANAONIPENDA MAANA YALIFIKIRI SITATETEWA HUMU..MSIFIKIRI KILA MTU ANA ROHO MBAYA KAMA NYINYI WANAFIKI WAKUBWA NA MUNGU ATAWAHUKUMU..,AMEEEN

Anonymous said...

Nuru let them talk....achana nao hebu tupatie uhondo wa pics na urembo instead of arguing with those losers!You are smart & cute don't let dumb asses to interfere your life. Don't waste your time to think about them..as I said before, they don't know you but they force to know U.and wish to be like you as if wanakulisha.. wakalale mbele woote wanaoropoka wanafiki...na waache "uswahiili"