Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Sunday, October 11, 2009

THESE ARE FOUR INDIVIDUALS WHO HAD A DREAM AND THEY MADE IT COME TRUE IN THE U S OF A. I SALUTE YOU MY FELLOW TANZANIANS.

HASHEEM THABEET.....,


MILLEN MAGESE WHOS NOW SIGNED TO FORD AND BABY IT DOESNT GET ANY BETTER THAN THIS..,


CYNTHIA MASASI....,



TEDDY KALONGA.....,




9 comments:

Anonymous said...

nuru get real
cynthia masasi na teddy kalonga wame achieve nini marekani?

Anonymous said...

yes.. weka ambao ni wasomi pia na wamefika mbali wapo wengi!

NURU THE LIGHT said...

TATIZO LA WATANZANIA AMBAO NI HATERS NI KWAMBA KIKUBWA MNACHOKIJUA NI KUHATE...MTU AMABYE ANAFAMU MAANA YA MAENDELEO SINA HAJA YA KUKUJIBU HAWA WATU WAMEPATA MAENDELEO GANI UMEAMBIWA AKILI NI NYWELE NA KILA MTU ANAZAKE....SASA WE UKIAMUA KUZITIA ZAZZOU AU DARK N LOVELY ITS UP TO U..HAWA WATU WAMEFANIKIWA IN A BIG TIME SWALI NIKWAMBA WEWE LEO KIMAISHA UNA MAENDELEO YAPI..,ACHENI ROHO MBAYA NA WAPENI WATU HAKI ZAO KWANI UTAPUNGUKIWA NINI UKIFANYA HIVYO.HAWA NI WATZ WENZETU N JUST LIKE U WALIKUWA NA NDOTO NA SASA WAMETIMIZA NDOTO ZAO BAADA YA KUSIFIA NYIE MMEKAA KUKOSOA TU NA MIMI BINAFSI NACHUKIA SANAHII TABIA...TO ALL MY PPL HONGERA KWA KUZIDI KUPEPERUZA BENDERA YA TANZANIA. NA NNAWAPENDA SANA

Anonymous said...

Hey Nuru...Huwa sikomenti but I love your blog. Im a guy (man), na naishi Marekani. I truelly agree with u when it comes to Hasheem and Millen, nawapongeza na kuwakubali.

But Cynthia na Teddy, have achieved nothing...the best I can tell u ni kwamba kuna wabongo wengi sana wana-hussle kama hao wawili ila wewe either huwajui au hawapendi kujitokeza. Sio hating, but umeambiwa ukweli. Kama unatafuta urafiki nao tafuta sio kuwakweza uongo.

hata wao watakuwa wameshangaa kuona umewapamba kama vile Obama alivyoshangaa kuhusu Nobel prize. Ni maoni yangu tu sio majungu, watanzania tukubali kukosolewa.

Anonymous said...

yaeh...weka waliofanikiwa kimasomo pia iili KuINSPIRE WADOGO ZETU WALIO SHULE KWA MAANA WATO WANAOFANIKIWA NA MAMBO YA UMODEL AU BEING AN ATHLETE NI ONE IN A MILLION WATANZANIA TUKO NYUMA KIMAENDELLEO KWASABABU ELIMU IKO CHINI SANA.....HASHEEM YES GOOD JOB....MAGESE YEAH NAKUBALI HAO WENGINE DUUUHHH......IT'S JUST A FEED BACK..... OTHERWISE YOU ARE DOING A GOOD JOD KUPONGEZA WATANZANIA WENZETU....

NURU THE LIGHT said...

anony wa kwanza ahsante na nnatendelea kuwapa moyo na kupongeza watanznia wenzangu always maana mimi sio a hater but am for watu wanaohangaika kutafuta maisha na sitowakata moyo hata siku moja whether unafagia,kuosha vyombo au kama hasheem maana kila binadamu lazma aanzie sehemu.

KAKA WA MAREKANI I UNDASTAND KWAMBA U CAN HAVE AN OPINIONA ABOUT WHAT PPL DO BUT DONT DENY THEM HAKI YAO...HASHEEM NA MILLEN UMEKUBALI
SO WATS THE DIFFERENCE BETWEEN WHAT TEDDY IS DOING AS OPPOSE TO MILLEN..THEY R BOTH MODELS AND TEDDY AMEKAA US KWA MUDA MFUPI SANA N LOOK AT THE JOBS SHES DONE ALREADY FOR BIG COMPANIES..
CYNTHIA IS A VIDEO VIXEN N DO U KNOW HOW MANY BIG STARS OF TODAY STARTED AS MODELS/VIDEOVIXEN LAKINI MMEKAA KUWASIFIA WAO..KAKA KAMA HUJUI ACHIEVEMENTS NINI BASI CJUI NIKUSAIDIE VIPI N YA LAST THING HUJAWAI FIKIRIA LABDA HAWA WATU TENA WOTE ARE ALREADY MY FRIENDS SASA NIJIPENDEKEZE KWANINI..KARIBU TENA NA TENA

Anonymous said...

Teddy Kalonga kufanya matangazo ya television marekani nayo ni mafanikio that's for sure. Tena makubwa tu, mimi sipingi.

Ukizingatia kwa muda mfupi tu ameweza kufanya hivyo.. namuheshimu huyu dada.

Millen ametoka mbali from miss to model. Hasheem, big up wewe ni hero. Hatupingi.

Cynthia, go girl. There is nothing wrong to be a video model. Wewe ni mrembo!

Anonymous said...

NURU MY SWEETHEART ACHANA NA HATERS HAWA..TATIZO LA WATANZANIA WANA WIVU SANA NA MAENDELEO YA WATANZANIA WENZAO
U CANT IMAGINE KUNA MIJITU INAOMBA HASHEEM ASIFANIKIWE NA ASHUKE KIWANGO ILI ASIWEZE KUACHIEVE..!
NI ULIMBUKENI TU WATU HAWAKUBALI UKWELI..TEDDY NA CYNTHIA WAMEPIGA HATUA SANA
MAENDELEO NI HATUA UNAYOPIGA KWENDA MBELE KIMAISHA NA KIMAFANIKIO SIO KIFEDHA TU HATA KIAKILI NA KIMAWAZO
KAMUA DADA ANGU NURU
NIPO NAWE SANA
WALLACE

NURU THE LIGHT said...

BORA KAKA YANGU WALLACE UMEONGEA AHSANTE..NA WALE WOOOOOOTE MLOANDIKA COMMENT ZA KIJINGA NAOMBA MSIRUDIE TENA MAANA HAPA TUTAANDIKA MAENDELEO KWA KWENDA MBELE WHETHER YOU LIKE IT OR NOT.HABBAR NDO HIYOOOO