mimi nimependa hiyo ya huyo bonge kwasababu na mimi ni bonge tuwekee kama hizo za mabonge si unajua bongo tupo mabonge mahips, wembamba na sisi wapi na wapi.
bongo kuna shepu za aina nyingi tu sio wanene tuu...,uzuri wa bongo kuna variety ya shepu tena sana sio kama ulaya watu wote wanataka wembamba..but najaribu kuonyesha sana nguo kwa all body types...,usiwe na hofu anony mambo yote utapata humu mpenzi.,
3 comments:
hizi raffles zinapendeza wembamba au huyu zimemzidi zimezidi kumfanya aonekane mpana zaidi

Post a Comment