Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Thursday, September 17, 2009

LORD HAVE MERCY ON MY BELLY.......,


10 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Oh! vad hungrig jag blev! Det ser sååååå gott ut.MMMhhh

NURU THE LIGHT said...

visst blir man det yasinta...,tänk o få tag på denna måltid...,

shamim a.k.a Zeze said...

hivi Nuru jamani umesahau tuko kwenye mfungo...yaani IYO CHIPS ZEGE...mate yananitoka mwenzio utanifuturisha ivyo!!!!Na hv niliipimzisha mwezi mzima...zitanikoma next week hapo upate tomato chachandu na kachumbari ya kabichi ipikwe kidooogo

NURU THE LIGHT said...

YYANI WE SHAMIM ACHA TUUUUUUUU MUNGU ATANISAMEHE NILIVYOLETEWA HII PICHA DENDA LININITOKA....,CHACHANDU NA KACHUMBARI NDO YENYEWEEEEEEEEE

Anonymous said...

Nuru mambo gani hayo jamani kututamansha sasa..?
haaf we si umefunga..?lol
mic u..keep up with good patterns of ur blogs..
wallace

NURU THE LIGHT said...

THANKS WALLACE....,NDO NATAMANI NIPATE HAYA MAPOCHOPOCHO KUFTURUUUUUUU

PASSION4FASHION.TZ said...

OMG,NURU WEWE MCHOKOZI!MIMI CHIPS NO THANK YOU,MIMI ZANGU NI HIZO SAHANI ZA NYAMA NA SAMAKI,HAPO UTANIPATA NA BAHATI MBAYA LEO NIMETOKA KUNG'OA JINO,BILA HIVYO KWA HASIRA NDIO INGEKUWA DINNER YANGU LEO...LOL,VIPI NURU SWAUMU IMEPANDA?

Anonymous said...

hej nuru, mbona mishkaki sijaona hapo jamani? mmmm nimetamani ilo zege.

Anonymous said...

Nuru unatamanisha watu hapa...I think you mean tummy not belly

NURU THE LIGHT said...

PASSION YAAAA INAPANDA MPENZI...N THE OTHAS WELL KUTAMANISHA WATU SI MBAYA SOMETIMES ESPECIALLY IF ITS SOMETHIN LOVELY LIKE FOOD...,