Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Wednesday, September 9, 2009

I JUST LOVE THE WAY SHE FIXED HER EYEBROWS...,

AMEKATA VIZURI SANA NYUSI ZAKE...MY MALKIA MISS N....,

4 comments:

Anonymous said...

sio eyebows jamani ni brows..shost kidhungu chetu mmmh mashaka..si useme tu nyusi

Anonymous said...

Anony wa kwanza, kwanini una haraka hivyo ya kumkosoa mtu??? didnt it ever occur to u that it could have been a typing error???.....Keep up the good work Nuru.

XOXOXOX

Sab said...

Mtu asikosee speling mmh jamani watu na nyie kwa kuona makusa kuliko ata mazuria ayafanyayo Nuru the light.Mdada mzuri na ana macho mazuri.Thx Nuru kwa libeneke

NURU THE LIGHT said...

miss n is a true beauty na hizo eyebrows zake zimenikuna sanaaaa