Nusu mie naomba unielekeze huyu binti mrembo Teddy anatakiwa kuvotiwa afanye kazi gani au hiyo competion inahusiana na nini? I was confused to se the photo shoot sorry that was tooo.....
ok ni SPIKE TV WANATAFUTA MTANGAZAJI WA CHANNEL HIYO N SINCE ITS A SPORT CHANEL NI WANAUME NDIO MAJORITY YA WATIZAMAJI WAO SO TEDDY NI MMOJA WA WASICHANA WANAOCOMPETE KUPATA HIYO KAZI...,NI KWASABABU MANY VIEWERS ARE MALE NDIO MANA THE PHOTOS ARE SEXY..,I HOPE SASA UMEELEWA
Ok sorry nilikosea nikaandika NUSU badala ya NURU. Nimeelewa ila still women tunadhalilishwa bwana kwani wanatangaza na vinguo vya hivyo everyday? anyway hope she wins
6 comments:
Safiii saannaaa:-)
HIZO LEGGINGS NA SHATI ZIMENIKUNA SANAAAAAA..,NA KASHATI DRESS OJ OJ OJ...,JÄTTEFINT
Nusu mie naomba unielekeze huyu binti mrembo Teddy anatakiwa kuvotiwa afanye kazi gani au hiyo competion inahusiana na nini? I was confused to se the photo shoot sorry that was tooo.....
ok ni SPIKE TV WANATAFUTA MTANGAZAJI WA CHANNEL HIYO N SINCE ITS A SPORT CHANEL NI WANAUME NDIO MAJORITY YA WATIZAMAJI WAO SO TEDDY NI MMOJA WA WASICHANA WANAOCOMPETE KUPATA HIYO KAZI...,NI KWASABABU MANY VIEWERS ARE MALE NDIO MANA THE PHOTOS ARE SEXY..,I HOPE SASA UMEELEWA
Ok sorry nilikosea nikaandika NUSU badala ya NURU.
Nimeelewa ila still women tunadhalilishwa bwana kwani wanatangaza na vinguo vya hivyo everyday? anyway hope she wins
Post a Comment