kweli CR katoka!hapo kamkosa 50 akiwa ametinga suti nyeusi na shati jeupe lililo ampatana na tai nyekundu na kaua kekundu kwa mbaaaali kwenye mfuko wa koti la suti!
atama umeona eeeh mtoto alivyotokaaaaaaa yaani cici kapendeza sanaaaaa..,anony hapo juu jumpsuit ziko very special na sio kila moja itakupendeza so nabidi ujaribu aina tofauti ili upate ile itakayokufaa wewe...,good luck hun
3 comments:
OMG!I gotta go get mine ASAP...lakini ya shorts i think the longer ones will make me look longer than i actually.....HOT!
kweli CR katoka!hapo kamkosa 50 akiwa ametinga suti nyeusi na shati jeupe lililo ampatana na tai nyekundu na kaua kekundu kwa mbaaaali kwenye mfuko wa koti la suti!
kapendeza kama flower Nuru! aise! aishee!!!!!
ha! ha! ha! haaaaaaaaaaaa
nimepita mama!
tupo pamoko
Atama Karapo

Post a Comment